Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)


8. Unabidi urekebidhe title mkuu ni
RAW Women's Champion ambapo Nia Jax vs Alexa bliss.
Wwe imegawanyika ktk sehemu 2 RAW NA SMACKDOWN. Raw wana mkanda wake na smackdown wana mkanda wake kama ulivyoeleza #4.

6. Raw Tag Team championship
Ni Braun Strowman Vs Cesaro & sheamus
 
Tunahitimisha vp sasa wadau, mieleka ni maigizo au uhalisia!?
Yaan mtu una Train hadi kuACHIEVE vitu fulani, alafu uje kupangiwa nini cha kufanya[emoji134]

Kuna Wakina Sasha tangu watoto walikuwa na ndoto ya kuchukua Ubingwa WWE WOMAN.

ingekuwa ya kutunga, Washabiki wasingejazana vile uwanjani[emoji134] Sasa nilipe hela kuangalia kitu ambacho kinajulikana matokeo[emoji134]
 
Ukweli mchungu ni kwamba soon mkanda wa universal champion utakuwa ni wa Roman reign parmanently as long as hakuna wa kumpiga the big dog ukimtoa Lesner ambae anahama WWE!
 
Haah mzee..... Sijasema Mimi kuwa ASUKA na Nakamura watashinda.... Mi nlikuwa najiamini na Brock Lesnar tu.... Nipe mzigo wangu bana
Mkuu ulitoa ahadi kibao kwa umma wa Watanzania kuwa kuna watu watashinda,mfano ulipinga na umma wa Watanzania kuwa uso watashinda[emoji116].....Sasa nieleze kinagaubaga kuwa mzigo anachukua nani kwanza!!
 
Mkuu ulitoa ahadi kibao kwa umma wa Watanzania kuwa kuna watu watashinda,mfano ulipinga na umma wa Watanzania kuwa uso watashinda[emoji116].....Sasa nieleze kinagaubaga kuwa mzigo anachukua nani kwanza!!View attachment 738834
Ila sikutaja mambo ya mzigo.... Mzigo nilitaja kwa Lesnar na Roman reigns tu... Daah nimeamini waongo si wanasiasa tu....ila mi ningekupa.. Believe or not
 
Ni ya kutunga jamani. Hivi wewe na akili zako shemus na misuli yake akiwa na sizaro washindwe kumpiga huyo baunsa. Kweli??
Ukitaka kuona ni fake kamuangalie broke lesnar akiwa MMA au UFC uone anapokea kichapo kwa watu wenye maumbo madogo tu. Mpk anaomba poo...halafu eti mtu
Mieleka ya kweli ni ile ya Olimpic tu. Sio hiyo inayiitwa ENTERTAIMENT sio sport.
Mbona MOVIE zote ni FAKE lakini ikitoka tu mnakimbilia mara sijui FAST&FURIOUS mara BLACK PANTHER....zote ni maigizo tena ya ku cut action cut action bado watu wapenda.
So as mieleka kule kuna script writer....leo wataongea maneno gani leo atapigana nani na nani atashinda.
Mwanamieleka akisema maneno nje ya script ilivyoandikwa anazimiwa mike... kama CM Punk etc
BROKE hapigani nje ya PPV maana hapendi WWE sema mc man anampa mpunga mrefu so masharti ni PPV tu hizo Raw n Smacdown ni za hao wanaolipwa mpunga mdogo.
Eti mtu mmoja anazungukwa na watu wenye misuli kama 12 washindwe kumtupa nje ya ulingo eti anawapiga wote. Yet akipigana na lesnar one to one anapigwa na huyo huyo lesnar akienda UFC anapigwa na akina MCbride..(type za yule aliyepigana na maywether miili midogo)
 
Ha ha sio hadithi wana. Matukio ya wwe unaweza kuyaotea jinsi ya trend zao. Mimi nimefutilia sana kuhusu wwe na comments za hata hao fans walioko huko usa they know ni fake/scripted kama movie.
Mieleka ya ukweli iko olyimpics ndio inayoitwa SPORT
Hii ni ENTERTAIMENT kama MUZIKI NA MOVIES
Ndio maana huoni mashindano ya kushindanisha kati ya hao wa WWE na TNA ILE YA JAPAN AU YA MEXICO
Yaani kila mtu yuko kivyake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…