Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Kwan WRESTLEMANIA ni baada ya kila muda gani?
 
Naona Brock kasaini tena WWE na atapgana kwenye The greatest Royal rumble na Roman kwenye match ya steel cage
 
Ndo maana katika wote, John Cena anang'ang'ania tu The Deadman atokee wapigane, mbona hachagui wengine,
ha ha haa
 
Great Royal rumble inakuja..... Utakuwa tar 24 Apr.... Itafanyika Saud Arabia.... Tutaona tena pambano la Brock Lesnar na big [emoji190]..... John Cena na undertaker..... Miz, rolling na Fin Ballor tena kukutana..... 50 Men royal rumble.... Hatari Sana
 
Wanarudia tena
 
Hii Hatari
 
Yule hana lolote!....Anashangilia kwa nguvu zote kisa eti amechukua mkanda wa Charllote flair kwa kuvizia vizia bila hata kupigana nae!...ajiandae kuvunjwa miguu na Charllote flair!
Sasa boss ile hela yangu vip!!!!! Au tusubiri marudiano kwenye greatest Royal rumble [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi kwann kila mtu asiwe na vijamaa vyake au kuna sheria inakataza... Mbona mahal ana vyake, miz anavyake.. Je kila mtu akitaka anakubaliwa

Halafu kweli,kuna kipindi AJ alikuwa na wapambe saa hizi na wao wanapigana wenyewe
 
Ukweli mchungu ni kwamba soon mkanda wa universal champion utakuwa ni wa Roman reign parmanently as long as hakuna wa kumpiga the big dog ukimtoa Lesner ambae anahama WWE!

Mkuu Roman anapigika vizuri tu (japo na mimi ni shabiki wake lakini I admit). Mda mwingine huwa anapumbazwa, unakumbuka the miz alimpiga kupitia hadaa za vile vijamaa vyake? A few days after seth naye akampiga japo ile ilikuwa ni more technical. Usisahau samoe joe akikiwahi na ile crunch yake unasinzia bila kupenda.
 
Kinachomkost jamaa hana pumzi, anachoka haraka...... Alaf hana finishing ya uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…