Ni matumaini yangu wale wadau wetu wa wrestling bado tupo pamoja tukifuatilia nukta kwa nukta kinachoendelea kwenye Tasnia Ya wrestling.
natumai wote tulikuwa jicho kwa jicho kufatilia WWE WRESTLEMANIA 34 MATCHES iliyofanyika Jumspili 08 April 2018.
Kwa wale tuliobahatika kufatilia naamini tulipata burudani ya kutosha ingawa kuna baadhi tulisikitishwa baada ya wale tuliowatumainia kushinda then wakapokea kichapo.
Nikigusia gusia Kidogo yaliyotokea siku hiyo......
Kwa haraka haraka tuyachungulie kwa ufupi mapambano hayo :-
.
1.Universal champion
Brock Lesnar Vs Roman reigns
Lesnar alitoa kichapo cha mbwa mwiz kwa big dog, paka Leo reigns hana hamu ya kukutana na Lesnar.
2.WWE Championship
AJ Style Vs Shinsuke Nakamura
AJ Style alimkung'uta vibaya sana Nakamura na kufanikiwa kutetea mkanda wake.
3.Ronda Rousy &Kurt Vs Stephanie McMahon &Triple H.
Ronda rousy na Kurt angle walifanikiwa kuwachapa Triple H na mkewe Stephanie.
4.Smackdown Women Championship
Hapa tulishuhudia mwanadada ASUKA kwa mara ya kwanza akila kichapo.....
5.Intercontinental championship
Miz Vs Seth Rollins Vs Fin Ballor
Fin Ballor akifanikiwa kuwachakaza Miz na mwenzake
6.Raw Tag Team championship
Brown stromen kwa dharau akamtag dogo wa miaka 10 Ignas then walifanikiwa kuchukua mkanda huu dhidi Ya Shemus na cezoro.
7. Kelvin Owens na Sami Zeni Vs Daniel Bryan and
Kelvin Owens na Sami Zeni wakadundwa na hivyo kufukuzwa WWE.
8.Women's Championship
Nia jax Vs Alexa Bliss
Nia jax akamdunga mwanadada machachari Alexa
9.Smackdown Tag Team championship
The Usos Vs The new days Vs The bludgeon brothers
The bludgeon brother wakashinda hili taji
11. United state Championship
Randy Orton Vs Boby Roode Vs Jinder Mahal.
Jinder Mahal akashinda taji hili
Baada ya kusumirize hayo machache yaliyopita Sasa tuangalie nini kilichopo mbeleni....
Kwa Sasa tunasubiri kwa hamu lile tukio kubwa la Great Royal Rumble.
Hii itafanyika Katika mji wa Jeddah, Saud Arabia , King Abdalah International stadium.
Katika event hiyo tutashuhudia baadhi Ya mapambano kama....
1.50Man royal rumble match
2.Brock Lesnar Vs Roman reigns
3. Seth Rollins Vs Fin Ballor Vs Miz
4. Shemus na cezoro Vs Bray watt na Matt.
hardy
5.Bludgeon Brothers Vs Usos
6.John Cena Vs Triple H
7. Undertaker Vs Rusev
Haya sasa karibuni wadau tudiskasi hii event na Haya mapambano.