Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Bob lashley alihamia ule mchezo wanaopigana ngumi na mateke na kuumizana sana, kule kwa kina conor mcGregor
Huyu jamaa hana kituRoman empire...
Mpuuzi yule, fisi mwoga. awe anaenda peke yake kama anaweza. Wait kitakachompata.Ila Inaonesha Kama amerudi kajipanga...... Si umeona kichapo alichompa Roman juzi
You suck!you suck!you suck!!Yap Yap Yap Yap..... Or Yes Yes Yes Yes or Delete Delete Delete Delete.. Ipi style inayovutia
Vipi ile ya kunyonga ya Samoe Joe?[emoji28][emoji28][emoji28]Ktk wrestling finish kali
1. Fin balor, ya kuruka na miguu
2. Msumali (R.I.P) ya the undertaker
3. R.K.O randy orton
4. Spear (Bob lashley, Golberg, Edge, & Roman reign
5. Triple H
Hizi ni finish kali ambazo ukiitumia mmoja wapo uhakika wa kushinda ni 99.9 na 1% ya kuchomolewa.
Ile nouma sana mzee.... unaweza tema dagaa wote uliokula [emoji2] [emoji2]Vipi ile ya kunyonga ya Samoe Joe?[emoji28][emoji28][emoji28]
Mbona Jinda Mahal haendagi peke yakeMpuuzi yule, fisi mwoga. awe anaenda peke yake kama anaweza. Wait kitakachompata.
Huyu jamaa hana kitu lakini stroman anaujua vizuri mziki wake, pamoja na maguvu yake yote ya kupindua magari alipofika kwa Roman alichezea kichapo kisawasawa, rejea ambulance march.Huyu jamaa hana kitu
Hawezi chukua.Hivi Mitz ni mpiganaji au mchekeshaji ......maana c kwa vituko hivi........ Alafu ndo anatangaza kuchukua intercontinental toka kwa Roman Empire...... [emoji23][emoji23][emoji23]
Royal rumble game Kati stroman,broklisner na Kane dunia itasimama kwa muda
Hapo kakosekana Roman reigns
coquina clutch! matata sana iyoVipi ile ya kunyonga ya Samoe Joe?[emoji28][emoji28][emoji28]
Undertaker jini lile.....Hivi yule undertaker ana siri gani na jeneza lake? Manake kuna pambano moja nakumbuka alidumbukizwa mwenyewe kwenye jeneza lake alafu jamaa alipoenda kufungua hakumkuta zaidi ya kuona moshi tu kisha Undertaker anaonekana yupo ulingoni mpaka leo najiuliza alitokaje mule au ndo mauchawi
Hahaha kweli undertaker ni jini mtu sio bure yale mauzauza yakeUndertaker jini lile.....