Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Ktk wrestling finish kali
1. Fin balor, ya kuruka na miguu
2. Msumali (R.I.P) ya the undertaker
3. R.K.O randy orton
4. Spear (Bob lashley, Golberg, Edge, & Roman reign
5. Triple H
Hizi ni finish kali ambazo ukiitumia mmoja wapo uhakika wa kushinda ni 99.9 na 1% ya kuchomolewa.
Vipi ile ya kunyonga ya Samoe Joe?[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hivi Mitz ni mpiganaji au mchekeshaji ......maana c kwa vituko hivi........ Alafu ndo anatangaza kuchukua intercontinental toka kwa Roman Empire...... [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Royal rumble game Kati stroman,broklisner na Kane dunia itasimama kwa muda
WWE-RAW-Results-Brock-Lesnar-Braun-Strowman-and-Kane-showdown-1024x585.jpg

Dunia itasimama kweli...... Si mchezo..... Wote tunaisubiria hiyo tar 28
 
Hivi yule undertaker ana siri gani na jeneza lake? Manake kuna pambano moja nakumbuka alidumbukizwa mwenyewe kwenye jeneza lake alafu jamaa alipoenda kufungua hakumkuta zaidi ya kuona moshi tu kisha Undertaker anaonekana yupo ulingoni mpaka leo najiuliza alitokaje mule au ndo mauchawi
 
Undertaker jini lile.....
 
Back
Top Bottom