Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Hawezi kamwe kumchakaza Roman!....Unakumbuka kwenye ile mechi ya kumtafuta mtu wa kupigana na Lesnar katika kugombania mkanda wa universal champion alibaki Roman na stroman kwenye cage, stroman alikula spear moja mchezo ukaisha na Roman akawa ndiye ameshinda kuwa mtu wa kupigana na Lesnar!!
Sio 6 men elimination chamber kweli walikuwepo na kina cena, Roman akashinda!!??
 
Kwa sasa pale WWE hakuna wa kumpiga Roman reign isipokuwa labda Lesnar tu!
Tena mkuu, roman akimpa kile kipgo alichompa kwny greatest royal rumble, lesna sijui atamwambia kitu, reigns sio poa yule mnyama
 
Hahaha reigns ampige lesner.tuwe siriaz.mapambano zaidi ya matano lesner kampiga roman na kwa kifupi mapambano waliokutana yote mnyama the beast kashinda.tuache mahaba roman hamwez brock lesner
 
Tumpe heshima yake brock lesner.huyu kiumbe apumzike kwa heshima
 
Roman anapigwa na kina fin

Angalia kwa makini utaelewa. Roman toka ameanza kusaka WWE Universe fitnabnyingi sana zimeingia kati. Mechi ya J3 na ile triple threat mech Jinder Mahal alifanya fitna. Ila alikuwa keshashinda Roman Rein mana alikuwa kashakalisha mtu.

Ubaya ni kuwa ile mech ilikuwa NO DISQUALIFICATION!
 
Hahaha reigns ampige lesner.tuwe siriaz.mapambano zaidi ya matano lesner kampiga roman na kwa kifupi mapambano waliokutana yote mnyama the beast kashinda.tuache mahaba roman hamwez brock lesner
Ujaona pambano la mwisho mkuu, maan sidhan kam ungeongea haya!!! Ingia youtube
 
Mkuu jay47 kabisa unaamini roman atampiga the beast.haya sio mapenzi bali ni mahaba.fin kamtoa jasho na alishinda.super man punch pigo la kitoto sana ataendelea kupigana na size yake maharaja jinndre mahal
 
Tumpe heshima yake brock lesner.huyu kiumbe apumzike kwa heshima
Nawashangaa wanamfananisha Lesnar na vitu vya ajabuajabu.....Huyo Reings alishapigwa hadi na Miz akanyanganywa Intercontinantal......Mpeni Lesnar heshma yake acheni kumkosea heshima kwa kumlinganisha na Reigns....
 
Brock Lesnar ni coward anakwepa kupigana mara kwa mara kisa anaogopa kunyang'anywa mkanda!...."i don't wanna be anything like brock lesnar,i wanna be a fighting champion"-Seth rollins......Hapa Seth rollins aliongea ukweli unaouma kwa mashabiki wote wa Lesnar!~(Nimetumia matamshi ya Seth rollins hapa kusupport kauli yangu kuwa brock lesnar ni coward!)
 
nlijua tu lazma uje mkuu....Daah mashabiki wa Reings mnaumia.....ila jamaa anawadisapoint sana.....lait angekuwa ana uwezo kama stroman bas tusingekunywa maji.
 
nlijua tu lazma uje mkuu....Daah mashabiki wa Reings mnaumia.....ila jamaa anawadisapoint sana.....lait angekuwa ana uwezo kama stroman bas tusingekunywa maji.
Strowman ana uwezo gani??!...kwenye pambano lile la kumtafuta mtu wa kupigana na lesnar kwenye universal championship alibakigi roman reign na strowman kwenye cage,strowman alichezea spear mbili akakaa chini na roman akapita kuwa mtu wa kupigana na lesnar!....Strowman hamuwezi roman hata kwa dawa!...kwa sasa hivi hakuna wa kumpiga roman reign pale WWE labda sana sana Lesnar anaweza kujaribu!!
 
Everything Roman Reigns can do, Braun Strowman can do better.
BraunRumble.jpg
ReignsLesnarWM34-1200x675.jpg
 
Back
Top Bottom