Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Level ya lesnar ni kama Samoa Joe, Roman ni level ingine ile mzee
 
Msukuma.com unayoandika sasa sio ushabiki bali ni mahaba na mahaba yaliyopitiliza kiasi kwamba ata mke wa roman akisoma msg zako lazima apate wivu maana mahaba yako sio ya dunia hii.pia nashindwa kukuelewa kwann unajitoa ufahamu,brock kapigana na roman mara ngapi na ngapi roman kasinda?jibu ni hakuna.acha mahaba na mpe heshima yake brock lesnar
 
nlijua tu lazma uje mkuu....Daah mashabiki wa Reings mnaumia.....ila jamaa anawadisapoint sana.....lait angekuwa ana uwezo kama stroman bas tusingekunywa maji.
Stroman anauwezo ukimlanganisha na reigns???? Mkuu kua seriaz[emoji23][emoji23]
 
Strowman ana uwezo gani??!...kwenye pambano lile la kumtafuta mtu wa kupigana na lesnar kwenye universal championship alibakigi roman reign na strowman kwenye cage,strowman alichezea spear mbili akakaa chini na roman akapita kuwa mtu wa kupigana na lesnar!....Strowman hamuwezi roman hata kwa dawa!...kwa sasa hivi hakuna wa kumpiga roman reign pale WWE labda sana sana Lesnar anaweza kujaribu!!
Strowman ni noma asee...Reign anaweza chezea kipigo.
 
Lesnar huwaga anaboa kwenye mechi zake, maana game ikianza tuu anakimbilia kwenye Suplex city...
 
Strowman ana uwezo gani??!...kwenye pambano lile la kumtafuta mtu wa kupigana na lesnar kwenye universal championship alibakigi roman reign na strowman kwenye cage,strowman alichezea spear mbili akakaa chini na roman akapita kuwa mtu wa kupigana na lesnar!....Strowman hamuwezi roman hata kwa dawa!...kwa sasa hivi hakuna wa kumpiga roman reign pale WWE labda sana sana Lesnar anaweza kujaribu!!
Hata lesnar bila fitna hampigi Roman, lesnar akipangiwa pambano lazima afanye fitna Mara atume watu wajifanye polisi wamfunge mpinzani pingu ndo apate nafasi ya kumdhoofisha kabla ya pambano, Mara avizie mwenzake anapambana na kachoka ndo anajitokeza kumdhoofisha kabla ya pambano, na uhakika reign akikaa mda mrefu akijifua bila mipambano ya Mara kwa Mara anampiga lesnar mapema mno.
 
Lesnar ni coward huwa anakwepa kupigana mara kwa mara kisa anaogopa kunyang'anywa mkanda,mwenzake roman reign huwa anapigana deile!.....Lesnar is not a fighting champion!!....he is coward champion!!
 
Hata lesnar bila fitna hampigi Roman, lesnar akipangiwa pambano lazima afanye fitna Mara atume watu wajifanye polisi wamfunge mpinzani pingu ndo apate nafasi ya kumdhoofisha kabla ya pambano, Mara avizie mwenzake anapambana na kachoka ndo anajitokeza kumdhoofisha kabla ya pambano, na uhakika reign akikaa mda mrefu akijifua bila mipambano ya Mara kwa Mara anampiga lesnar mapema mno.
Mkuu nimeelewa point yako, ni kweli kabsa, mapambano yote reign kapga na lesna, roman kafnyiwa fitina saana!, kachoshwa kwnza kabla ya pambana, afu jamaa haonekaniki sku nyingne zaidi ya pambano tu, reign kila wiki ana pambano!,, pia kam ulioona pambabo la mwish beast alivyochapwa kipgo cha mbwa koko, pia alifnyiwa fitina na yule paul heyman kumfungia cage......
Narudia tena kusema lesna hana uwezo wa kumpga reignss one to one match bila kuwepo fitina.......
 
Anaejiamni na mkanda wake ni rollins,,, yy kila wiki anapambana, na hanyang'anywi!!! Ila beast ni mapambano makubwa tu,....
Muoga saaan yulee, hajiaminii kabsaa
 
Mkuu seth Rollins anajikubali aisee jamaa anautetea sana mkanda wake wa intercontinental
 
Back
Top Bottom