The rising sun ndio ringtone yangu,ya undertaker mlio wa smsUndertaker, Rest in peace
John Cena, time is now
Fin Balor , catch your breath
S.Nakamura, the rising sun
Edge, Metalingus
Hizo ndio the best entrance theme song!!
Ya Nakamura na Asuka ndo nzuriThe rising sun ndio ringtone yangu,ya undertaker mlio wa sms
Huyo ni coward champion yupo zake mafichoni anaogopa mapambano kisa mkanda utachukuliwa na fighting champion-roman reign!Namwona mnyama ametulia hapo juu.bora wampe tu huo mkanda hamna wa kuuchukua
Maaharaja ni coward champion mara atumie vile vijamaa vyake,mara avizie apige watu na viti e.t.c!Maaharaja Jinder Mahal kwa sasa ndo kiboko ya Roman Reigns....Brock Lesnar Tumtaftie mwingine Maana Reigns kashakubali matokeo kaamua kupambana na level zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho wake upo kwenye MITB, one spear tuu inamuweka chinMaaharaja ni coward champion mara atumie vile vijamaa vyake,mara avizie apige watu na viti e.t.c!
Mfalme wa pori hatoki toki nje kila mara, mpaka pawepo na jambo la muhimu lasivyo mazoea yatazidi na heshma kupungua.Coward champion vs fighting champion!....coward champion amesajiliwa WWE tangia 2002 ila amepigana mechi 376 tu wakati fighting champion amesajiliwa WWE tangia 2012 na amecheza mechi 952![emoji116]....What a shame to a coward champion!!View attachment 787761
Matt mkbwaMatt hard na Jeff Hard nan mkubwa
Umesahau ya D generation XUndertaker, Rest in peace
John Cena, time is now
Fin Balor , catch your breath
S.Nakamura, the rising sun
Edge, Metalingus
Hizo ndio the best entrance theme song!!
ok pw, naona saiv anajifanya kama Ana majini ivMatt mkbwa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji119]Mfalme wa pori hatoki toki nje kila mara, mpaka pawepo na jambo la muhimu lasivyo mazoea yatazidi na heshma kupungua.
Same applied to Bingwa , hapigani pigani hovyo na vitoto vidogo....mpaka atokee mmoja alete dharau ndo anamfyatua alafu anarudi zake ndani......That is Brock Lesnar
Mkuu wewe huna tofauti na B team![emoji23][emoji23][emoji23]Mfalme wa pori hatoki toki nje kila mara, mpaka pawepo na jambo la muhimu lasivyo mazoea yatazidi na heshma kupungua.
Same applied to Bingwa , hapigani pigani hovyo na vitoto vidogo....mpaka atokee mmoja alete dharau ndo anamfyatua alafu anarudi zake ndani......That is Brock Lesnar
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] breeze zangoMkuu wewe huna tofauti na B team![emoji23][emoji23][emoji23]
Jinder mahal Jana kapokea kichapo heavy kutoka Seth RollinsMonday night raw mida hii saa9 usiku.big match ni seth rollings vs jinder mahal.msikose marudio saa3 usiku ss10 au ss9 au ss8
Kinaitwa kichapo cha mbwa koko!Jinder mahal Jana kapokea kichapo heavy kutoka Seth Rollins