Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Undertaker, Rest in peace

John Cena, time is now

Fin Balor , catch your breath

S.Nakamura, the rising sun

Edge, Metalingus

Hizo ndio the best entrance theme song!!
The rising sun ndio ringtone yangu,ya undertaker mlio wa sms
 
Namwona mnyama ametulia hapo juu.bora wampe tu huo mkanda hamna wa kuuchukua
Huyo ni coward champion yupo zake mafichoni anaogopa mapambano kisa mkanda utachukuliwa na fighting champion-roman reign!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20180527_181131_443.JPG
 
Coward champion vs fighting champion!....coward champion amesajiliwa WWE tangia 2002 ila amepigana mechi 376 tu wakati fighting champion amesajiliwa WWE tangia 2012 na amecheza mechi 952![emoji116]....What a shame to a coward champion!!
rps20180527_181536_468.jpg
 
Coward champion vs fighting champion!....coward champion amesajiliwa WWE tangia 2002 ila amepigana mechi 376 tu wakati fighting champion amesajiliwa WWE tangia 2012 na amecheza mechi 952![emoji116]....What a shame to a coward champion!!View attachment 787761
Mfalme wa pori hatoki toki nje kila mara, mpaka pawepo na jambo la muhimu lasivyo mazoea yatazidi na heshma kupungua.

Same applied to Bingwa , hapigani pigani hovyo na vitoto vidogo....mpaka atokee mmoja alete dharau ndo anamfyatua alafu anarudi zake ndani......That is Brock Lesnar
 
Undertaker, Rest in peace

John Cena, time is now

Fin Balor , catch your breath

S.Nakamura, the rising sun

Edge, Metalingus

Hizo ndio the best entrance theme song!!
Umesahau ya D generation X

Randy orton I hear voices

Na ya ECW zamani nimeisahau jina ila nakumbumbuka verses... "I heard you looking for me but yu look for trouble yu dont see that..."
 
Mtu yupo toka 2012 kiwango hakikui bado size yake kina maharaja na elayas...sasa brock atoke apigane na nani maana wote hamna size yake pale na wengi kawakung'uta.nakubaliana na ww baba mtakatifu acha mnyama ajifungie ndani maana hamna size ya kupigana nae.huyo seth kama kamis kutangulia ahera aombe mechi
 
Mfalme wa pori hatoki toki nje kila mara, mpaka pawepo na jambo la muhimu lasivyo mazoea yatazidi na heshma kupungua.

Same applied to Bingwa , hapigani pigani hovyo na vitoto vidogo....mpaka atokee mmoja alete dharau ndo anamfyatua alafu anarudi zake ndani......That is Brock Lesnar
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji119]
 
Monday night raw mida hii saa9 usiku.big match ni seth rollings vs jinder mahal.msikose marudio saa3 usiku ss10 au ss9 au ss8
 
Mfalme wa pori hatoki toki nje kila mara, mpaka pawepo na jambo la muhimu lasivyo mazoea yatazidi na heshma kupungua.

Same applied to Bingwa , hapigani pigani hovyo na vitoto vidogo....mpaka atokee mmoja alete dharau ndo anamfyatua alafu anarudi zake ndani......That is Brock Lesnar
Mkuu wewe huna tofauti na B team![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom