Baba Mtakatifu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,332
- 2,465
- Thread starter
-
- #1,361
Jinder Mahali si wakupigana na Seth Rollings, Yeye Saizi yake ni kina Roman Reings.....Kwa Seth ategemee kichapo tu.Jinder mahal Jana kapokea kichapo heavy kutoka Seth Rollins
Lets be a really fans, I put 50k on Roman in MITB match.. Kama uko tayari niambie???Jinder Mahali si wakupigana na Seth Rollings, Yeye Saizi yake ni kina Roman Reings.....Kwa Seth ategemee kichapo tu.
Baba mtakatifu alishawahi kubet na mtu hapa mechi ya brock lesnar na roman reigns,lakini mpaka sasa hajapewa ela yake licha ya kushinda.mashabiki wa roman hamwaminikiLets be a really fans, I put 50k on Roman in MITB match.. Kama uko tayari niambie???
Nashkuru kwa kunisemea mkuu, kila siku nalalamika wala hakuna wa kuniskiliza, naomba uongozi uingilie kati ili niweze kupatiwa haki yangu.Baba mtakatifu alishawahi kubet na mtu hapa mechi ya brock lesnar na roman reigns,lakini mpaka sasa hajapewa ela yake licha ya kushinda.mashabiki wa roman hamwaminiki
Naona mashabiki wa Jinder mmesanda..Nashkuru kwa kunisemea mkuu, kila siku nalalamika wala hakuna wa kuniskiliza, naomba uongozi uingilie kati ili niweze kupatiwa haki yangu.
Mashabiki wa roman tatizo hamwaminiki.fanyeni kwanza baba mtakatifu alipwe chake pia apatikane mtu neutral wa kushika mpunga ili mechi ikiisha mshindi apewe chakeNaona mashabiki wa Jinder mmesanda..
[emoji106]Mashabiki wa roman tatizo hamwaminiki.fanyeni kwanza baba mtakatifu alipwe chake pia apatikane mtu neutral wa kushika mpunga ili mechi ikiisha mshindi apewe chake
Yeye pia kipindi kile alibet kwa umma kwa mbwembwe zote kuwa Asuka na Nakamura wangeshinda,je hio hela yake yeye alimpa nani??!Baba mtakatifu alishawahi kubet na mtu hapa mechi ya brock lesnar na roman reigns,lakini mpaka sasa hajapewa ela yake licha ya kushinda.mashabiki wa roman hamwaminiki
Huwezi kusikilizwa kamwe hadi na wewe upatie umma haki yao pia kwa sababu ulibet kwa uma kuwa Asuka na Nakamura wangeshinda ila wakapigwa!!Nashkuru kwa kunisemea mkuu, kila siku nalalamika wala hakuna wa kuniskiliza, naomba uongozi uingilie kati ili niweze kupatiwa haki yangu.
Sasha hana lolote yule ni muuza sura tu na kupenda masifa!....i don't wanna be anything like Sasha banks!Shasha ni balaa kwenye mieleka
Nacheki mieleka Sami zain kevin owen na Jindal wanapigana na Roman Braun strwman Roman na mwingine huyu namsubir aingieSasha hana lolote yule ni muuza sura tu na kupenda masifa!....i don't wanna be anything like Sasha bank!
Roman ananifurahisha hapa anapigana na kina kevin wanakimbia kimbia tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi namkubali great khali,jamaa ana nguvu mpaka kero
[emoji1] [emoji1] hao siwajui,mi nafatiliaga wakina Orton, cena,undertaker,mystereo, na wengineo tuseme ni wale famousRoman ananifurahisha hapa anapigana na kina kevin wanakimbia kimbia tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Humjui Roman duuuuh pole[emoji1] [emoji1] hao siwajui,mi nafatiliaga wakina Orton, cena,undertaker,mystereo, na wengineo tuseme ni wale famous
Huyu jamaa yupo wapMi namkubali great khali,jamaa ana nguvu mpaka kero
haaahaaa ... .so fany....I like this thread.Humjui Roman duuuuh pole
Aiseee napenda mieleka balaaaa sema nampenda sana Roman Finn balor bila kumsahau Nakamuraaaahaaahaaa ... .so fany....I like this thread.