Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Lets be a really fans, I put 50k on Roman in MITB match.. Kama uko tayari niambie???
Baba mtakatifu alishawahi kubet na mtu hapa mechi ya brock lesnar na roman reigns,lakini mpaka sasa hajapewa ela yake licha ya kushinda.mashabiki wa roman hamwaminiki
 
Baba mtakatifu alishawahi kubet na mtu hapa mechi ya brock lesnar na roman reigns,lakini mpaka sasa hajapewa ela yake licha ya kushinda.mashabiki wa roman hamwaminiki
Nashkuru kwa kunisemea mkuu, kila siku nalalamika wala hakuna wa kuniskiliza, naomba uongozi uingilie kati ili niweze kupatiwa haki yangu.
 
Hiii back bash USA sasha alichezea kipigo kimtindo looooh
 
Baba mtakatifu alishawahi kubet na mtu hapa mechi ya brock lesnar na roman reigns,lakini mpaka sasa hajapewa ela yake licha ya kushinda.mashabiki wa roman hamwaminiki
Yeye pia kipindi kile alibet kwa umma kwa mbwembwe zote kuwa Asuka na Nakamura wangeshinda,je hio hela yake yeye alimpa nani??!
 
Nashkuru kwa kunisemea mkuu, kila siku nalalamika wala hakuna wa kuniskiliza, naomba uongozi uingilie kati ili niweze kupatiwa haki yangu.
Huwezi kusikilizwa kamwe hadi na wewe upatie umma haki yao pia kwa sababu ulibet kwa uma kuwa Asuka na Nakamura wangeshinda ila wakapigwa!!
 
Sasha hana lolote yule ni muuza sura tu na kupenda masifa!....i don't wanna be anything like Sasha bank!
Nacheki mieleka Sami zain kevin owen na Jindal wanapigana na Roman Braun strwman Roman na mwingine huyu namsubir aingie
 
Roman ananifurahisha hapa anapigana na kina kevin wanakimbia kimbia tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1] [emoji1] hao siwajui,mi nafatiliaga wakina Orton, cena,undertaker,mystereo, na wengineo tuseme ni wale famous
 
Back
Top Bottom