Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

undertaker ali freeze mkuu.....badae na yeye alikuja kuipangua ila mara ya kwanza alifreeze....nenda youtube utaona
Yaap, nakumbuka mara ya kwanza ""Alijidai kushindana kuitoa ile mikono"", but akashindwa...Ila Safari nyingine alijaribu akaona anaelekea kushindwa.

Akateremsha mikono chini, Washabiki tukaanza kupata majonzi...but Akapata akili ya kuanza kumpiga ngumi Khali tumboni...alimpiga hizo ngumi mpaka Khalii akalegea.
 
Labda kama ni wa juzi juzi, mana mi nmeanza kufatilia muda sana
Utakua unafatilia mieleka kwa msimu ww sio mfatiliaji sana.pia ata huyo great khali nae ni wa juzi tu zamani wababe walikua wengi kina lex,sting,hogan,flair,shwan,goldberg,the rock na wengine...ina maana wakina asuka,nakamura,aj styles,seth,stroman wote huwajui
 
Daah umenikumbusha mbali mkuu....zaman kulikuwa na wababe kweli...yaan mtu kama lex lugar, sting, holk hogan,triple h, shwan michle....kina boker t ndo walikuwa wanachpkia, kuna jamaa anaitwa DDP balaa sana miaka hiyo, kina golden berg, the rock, hawa kina cena, edge na randy ndo vilikuwa vidogo.....alaf kuna mbabe mmoja statenda haki nsipomtaja , mzee mzima big show.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawajui hata mm namshinda
 
Big show na yule mweusi mnene yule mbabu na kale kafupi ka mbiliko kalikokuwa kanamsurport
 
Mmmh cjui niseme nilikuwa sijazaliwa[emoji4] [emoji4] [emoji1]
 
Unamjua great khali demiss? Mwanzo kabla sijamjua great nilikuwa namkubali cena,lakin badae nikaona cena bado uwezo wake mdog huwa anapigwa ovyo ovyo tu tofaut na great. Kumpiga great ni ishu nyngne asee
Wewe sijui umefufuka kutoka wapi!!.......unazungumzia watu ambao walishastaafu siku nyingi!!
 
Seth Rollins anajitahidi sana kila wiki kutoa challenge ya mkanda wake but bado hapigwi, na ile finishing yake ni balaaa
 
Seth rollins now ndio Intercontinental champion ila jindermahal nadhani kuna kitu anakitafuta huenda ikafahamika kwenye mapambano ya Money in the bank hivi karibuni
 
Mi namkubali great khali,jamaa ana nguvu mpaka kero
Great khali aliwahi mminya big show kichwa hadi pua ikatoa damu, ile style yake ya kutwanga binadamu kwenye paa la kichwa ilikua hatari sana, alikua akiboa tu yeye akigongwa moja anaanguka kama gunia alafu kunyanyuka ni hadi winchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…