Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,371
- 2,834
Yaap, nakumbuka mara ya kwanza ""Alijidai kushindana kuitoa ile mikono"", but akashindwa...Ila Safari nyingine alijaribu akaona anaelekea kushindwa.undertaker ali freeze mkuu.....badae na yeye alikuja kuipangua ila mara ya kwanza alifreeze....nenda youtube utaona
Akateremsha mikono chini, Washabiki tukaanza kupata majonzi...but Akapata akili ya kuanza kumpiga ngumi Khali tumboni...alimpiga hizo ngumi mpaka Khalii akalegea.