Mkuu hakuna wa kukubali kuliwa hela yake ya ngama!!!Roman Haters nimetoa 50k kwenye MITB match hakuna anayetaka????
Tushawazoea....mnaahidi mkishindwa mnakimbia....shame on all Roman fans.Roman Haters nimetoa 50k kwenye MITB match hakuna anayetaka????
Nyie mashabiki wa roman hamwaminiki.tuaminisheni kwanza ili tuwaamini muone kama ela hatujato..ukiumwa na nyoka ata jani likikugusa unaruka.jindre mahal maharaja atampiga roman labda kama roman angepigana na elayas ningesema roman anashinda.ila kwa jindre mahal maharaja huyo mbwa lazima akae.nipo tayari kubet lazima kuwe na nafasi ya kuwaamini nyie matapeli wa romanRoman Haters nimetoa 50k kwenye MITB match hakuna anayetaka????
Brock asije kupigana na seth maana anaweza kumuua jamaa hanaga masiara ata kidogo.huyu seth aendelee kuruka ruka visarakasi vyake na kina fin balor.kwa kifupi hamna sasahv wa kumpiga brock lesnar mnyama mwenyewe the beastHapigwi sababu hajapigana na The super Man Brock Lesnar
U make me laugh loudly ......Eti visarakasi vyake na kina Fin ballor..........[emoji23][emoji23][emoji23]Brock asije kupigana na seth maana anaweza kumuua jamaa hanaga masiara ata kidogo.huyu seth aendelee kuruka ruka visarakasi vyake na kina fin balor.kwa kifupi hamna sasahv wa kumpiga brock lesnar mnyama mwenyewe the beast
Mbona hamjiamini nyinyi?Nyie mashabiki wa roman hamwaminiki.tuaminisheni kwanza ili tuwaamini muone kama ela hatujato..ukiumwa na nyoka ata jani likikugusa unaruka.jindre mahal maharaja atampiga roman labda kama roman angepigana na elayas ningesema roman anashinda.ila kwa jindre mahal maharaja huyo mbwa lazima akae.nipo tayari kubet lazima kuwe na nafasi ya kuwaamini nyie matapeli wa roman
si kwamba hatujiamini....Tatizo nyie hamuamuniki......kama vile Roman reings haaminikiMbona hamjiamini nyinyi?
Hivi mkuu, unaijua mieleka kweli? seriously?Mitz ni very coward person na ni muoga sana,hawezi tena kupata ule mkanda!.....Huwa anavizia siku Roman Reign amepigwa na mtu mwingine kisha anakuja kumshambulia in coward way!!
[emoji849][emoji849]Hivi mkuu, unaijua mieleka kweli? seriously?
Aiseee hii clip ntaipataje mkuuGreat khali aliwahi mminya big show kichwa hadi pua ikatoa damu, ile style yake ya kutwanga binadamu kwenye paa la kichwa ilikua hatari sana, alikua akiboa tu yeye akigongwa moja anaanguka kama gunia alafu kunyanyuka ni hadi winchi.
nenda youtube mkuuAiseee hii clip ntaipataje mkuu
Umefufuka kutokea wapi mkuu unaquote comment ya january leo june??!....Seriously?Hivi mkuu, unaijua mieleka kweli? seriously?
ilikuwa ni mwaka gannenda youtube mkuu
Chanel gaNi wanaonesha?? Nipe ratiba kamili.natumia kingamuzi cha azamInaonekana humu tunaoangalia RAW/SMACKDOWN live tupo wachache sana
Hivi wanaotumia Azam amjawatafutia ufumbuzi tu ni chenel ipi watapata uhondo huu.....maana kila siku wanaUlizia alafu hawapati jibu......tusiwatenge wenzetu jamaniChanel gaNi wanaonesha?? Nipe ratiba kamili.natumia kingamuzi cha azam
Njoo na hoja, usitishe watu apaHivi mkuu, unaijua mieleka kweli? seriously?