Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Roman Haters nimetoa 50k kwenye MITB match hakuna anayetaka????
Nyie mashabiki wa roman hamwaminiki.tuaminisheni kwanza ili tuwaamini muone kama ela hatujato..ukiumwa na nyoka ata jani likikugusa unaruka.jindre mahal maharaja atampiga roman labda kama roman angepigana na elayas ningesema roman anashinda.ila kwa jindre mahal maharaja huyo mbwa lazima akae.nipo tayari kubet lazima kuwe na nafasi ya kuwaamini nyie matapeli wa roman
 
Hapigwi sababu hajapigana na The super Man Brock Lesnar
Brock asije kupigana na seth maana anaweza kumuua jamaa hanaga masiara ata kidogo.huyu seth aendelee kuruka ruka visarakasi vyake na kina fin balor.kwa kifupi hamna sasahv wa kumpiga brock lesnar mnyama mwenyewe the beast
 
U make me laugh loudly ......Eti visarakasi vyake na kina Fin ballor..........[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie mashabiki wa roman hamwaminiki.tuaminisheni kwanza ili tuwaamini muone kama ela hatujato..ukiumwa na nyoka ata jani likikugusa unaruka.jindre mahal maharaja atampiga roman labda kama roman angepigana na elayas ningesema roman anashinda.ila kwa jindre mahal maharaja huyo mbwa lazima akae.nipo tayari kubet lazima kuwe na nafasi ya kuwaamini nyie matapeli wa roman
Mbona hamjiamini nyinyi?
 
Mitz ni very coward person na ni muoga sana,hawezi tena kupata ule mkanda!.....Huwa anavizia siku Roman Reign amepigwa na mtu mwingine kisha anakuja kumshambulia in coward way!!
Hivi mkuu, unaijua mieleka kweli? seriously?
 
Ngoja nienjoy kidogo
20180605_175533.jpg
 
Great khali aliwahi mminya big show kichwa hadi pua ikatoa damu, ile style yake ya kutwanga binadamu kwenye paa la kichwa ilikua hatari sana, alikua akiboa tu yeye akigongwa moja anaanguka kama gunia alafu kunyanyuka ni hadi winchi.
Aiseee hii clip ntaipataje mkuu
 
Chanel gaNi wanaonesha?? Nipe ratiba kamili.natumia kingamuzi cha azam
Hivi wanaotumia Azam amjawatafutia ufumbuzi tu ni chenel ipi watapata uhondo huu.....maana kila siku wanaUlizia alafu hawapati jibu......tusiwatenge wenzetu jamani
 
Back
Top Bottom