Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Kuna disqualification wakitumia TLC?ila mechi yao ni ngumu sana kwa sababu ni last man standing match!!......Last Man Standing is a match in which two wrestlers fight until one of them is knocked out or unable to fight anymore. The referee must count to ten while the wrestler is laying down and the last man standing wins the match.
Tunaposema yupo pale kwa part time tunamaanisha nn?brother lesnar yupo wwe part time ni tofauti na kina roman reigns jinder mahal seth rollins na wengineo
Strowman hamwez Lesner.mtu ambaye anaweza kumpiga bloc lesnar ni roman reigns labda kidogo braun strowman lkn huyu jamaa anatumia miguvu atumii skills hata match zao nyingi na bloc lesnar anamzidigi skills lkn yy braun ana dominatematch
Niliona. Roman akishinda sema refa akatoa ushindi kwa Lesner but refa alija apologize via TwitterMkuu umeangalia mapambano ya lesnar na Roman ni mara nyingi Lesnar ana mtime Roman mara atume watu wajifanye polisi ili wamkamate Roman ili yeye aingie kirahisi.... Uliangalie ile ya S.Arabia jinsi Lesnar alivyogongwa kama mbwa koko wa Kariakoo?
Jamaa analipwa kutokana na anapoonekana na kupigana uwa na analipwa $635K kwa kila pambano na akitoka hapo anaenda kupigana pia UFC super - fight akipata mpinzaniTunaposema yupo pale kwa part time tunamaanisha nn?
Ile ya kuitwa polisi ni roman alikuwa amesimamishwa kaz kwa muda wwe chairman vince mcmahon kwahyo akutakuwa kuonekana kwenye ulingo ndo maana walimuitia polisi wakamtoeMkuu umeangalia mapambano ya lesnar na Roman ni mara nyingi Lesnar ana mtime Roman mara atume watu wajifanye polisi ili wamkamate Roman ili yeye aingie kirahisi.... Uliangalie ile ya S.Arabia jinsi Lesnar alivyogongwa kama mbwa koko wa Kariakoo?
Hii imekubali mkuu!Try this www.movievoom.com
yaan pale anamkataba wa limited appearance unapiagana kwenya ppv tu na co kama wakina roman seth kila week wapo mjengoniTunaposema yupo pale kwa part time tunamaanisha nn?
TLC matches ni undisqulification match anything is legalKuna disqualification wakitumia TLC?
Anhaa. Nimekupata mkuuyaan pale anamkataba wa limited appearance unapiagana kwenya ppv tu na co kama wakina roman seth kila week wapo mjengoni
Kwaiyo hiyo ya aj styles na Nakamura inaruhusiwa kutumia TLC?TLC matches ni undisqulification match anything is legal
chochote hapo kinaweza kikatumika il mradi tu mtu apigwe mpka azime ashindwe kunyanyukaKwaiyo hiyo ya aj styles na Nakamura inaruhusiwa kutumia TLC?
Maana ni last man standing
Mkuu huyo lesner anaomekana mara moja kwa msimu, sasa sijui kama jamaa hana mtu/wachezaji wengine anaowapenda anapata burudani gani!Kwani wewe unampenda Lesnar peke yake??....Kwani wewe huruhusiwi kuzungumzia mchezaji mwingine tofauti na Lesnar???....Wewe hakuna wachezaji wengine ambao wanakukosha tofauti na Lesnar?!......Mimi kuzungumzia wachezaji wengine ninaowapenda imekuwa kesi??!
Kuna kitu hukielewi au kama unakielewa basi ushabiki unakuathiri. Mtu kupigana na mwingine sio lazima awe hiyo unayoita level yake,. Nikupe tu mfano, the great khali alikuwa anapambana na kina ray mysterio, sasa hapo sijui kama hiyo unayoita level unaiweka vipi. Na brawn strawman kupigana na finn balor, sijui hiyo nayo unaita level moja au ni tofauti.Hivi nyie mashabiki wa Roman Reigns mkoje......Ina maana hamuoni kwa Sasa show inayo hit ni ya Roman Reigns na Jinder Mahal.......mmeng'ang'ana na Lesnar mpaka sasa hivi........Kwa taarifa yenu Lesnar hana mpakango wa kupigana na Roman reigns tena naana si level yake.....ndo maana reigns kaamua kutafuta level zake kina maharaja na samoa joe..[emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa kuna chanel ya Nigeria ya Dini na MBC actionChakudeka hiyo mieleka huwa unaangalia channel gani? au ITV jmos saa 4 usiku ile ya Asia
Huwa kuna chanel ya Nigeria ya Dini na MBC action
umeweza kudownload mkuu....mimi movies nimeziona ila kudownload ndio issueHii imekubali mkuu!
Nunua DSTV haraka kwani unakosa mengi!!Huwa kuna chanel ya Nigeria ya Dini na MBC action
hahahahahahahaha sawaNunua DSTV haraka kwani unakosa mengi!!
njoo dstv mkuu kuna uhondo sana, kule ni ngoma inogilehahahahahahahaha sawa