Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

WWE kwa sasa ni
Roman Reign
Bob lashley
Samoa Joe
Monster in Bank (Braun )

Na kwa mbali Elias ndio wana weza kuwa challenger kwa Brock wengine jamaa ana kandamiza kama nzi!
 
WWE kwa sasa ni
Roman Reign
Bob lashley
Samoa Joe
Monster in Bank (Braun )

Na kwa mbali Elias ndio wana weza kuwa challenger kwa Brock wengine jamaa ana kandamiza kama nzi!
Rusev Day......hawa ndo level za RomanReigns
 
Huyu phenomenon AJ STYLES naona mnamchukulia poa sana.
 
On Summer Slam, Braun Strowman become a new Wwe Universal Champion... {Naota tuu.....
 
Huyu tall anae ingiaga smart ni nani ? Naona amchapa Balor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…