Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,348
- 3,305
Believe thatUchizi unaazaga kama hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Believe thatUchizi unaazaga kama hivi
Roman Reigns alishapigwa na Miz akanyang'anywa mkanda.....Fatilia historia ya Lesnar uone kama ameshawahi pigwa na watu wa ajabu ajabu.Believe that
Rusev Day......hawa ndo level za RomanReignsWWE kwa sasa ni
Roman Reign
Bob lashley
Samoa Joe
Monster in Bank (Braun )
Na kwa mbali Elias ndio wana weza kuwa challenger kwa Brock wengine jamaa ana kandamiza kama nzi!
Inamuuma kunyang'anywa mkanda!!......Nakamura alikuwa ameshapigwa finishing huyu fala Randy akaja kumuokoa!!.......Randy na Nakamura hakuna anaemuweza Jeffy Hardy!!What exactly Jeff Hardy did to Randy Orton?
Hana kitu yuleDrew Macintyre ni mgumu na anajua kupigana, sijui kwann anapoteza muda wake kuwa buckup ya Ziggler
Nadhani kibiashara inafaa iwe Lesner na Big dogAngalau Lesnar angepigana na Boby Lashley at least angepata changamoto kidogo.....
biashara ni promotion.....Hata leo wakitangaza miz na lesnar....wakiamua kupromote mbona inabambaNadhani kibiashara inafaa iwe Lesner na Big dog
Mkuu natabiri Braun Strowman atashindwa/atafail kucash inn!!On Summer Slam, Braun Strowman become a new Wwe Universal Champion... {Naota tuu.....
Mkali balon goblin huyo, ana cheo siku hizi.Huyu tall anae ingiaga smart ni nani ? Naona amchapa Balor
Itahitajika POWERSLAM moja tuu kumpa ushindi Monster in the bankMkuu natabiri Braun Strowman atashindwa/atafail kucash inn!!
Weakness kubwa ya monster among the men ni mzito sana akipigwa pigo moja tu huwa anayumba sana ndiyo maana the big dog huwa anamuonea sana!Mkuu natabiri Braun Strowman atashindwa/atafail kucash inn!!
Japokuwa ni mzito ila nachompendea ni mgumu akubali kupigwa kizembezembeWeakness kubwa ya monster among the men ni mzito sana akipigwa pigo moja tu huwa anayumba sana ndiyo maana the big dog huwa anamuonea sana!