Ni kweli lakini haiwezi kuwa sawa Kama ikikaa the Beast na Big Dog mana hata hapa nadhani waona mnavyobishana ni tofauti na akiwekwa mfano the Miz na Lesner mostly kila mtu atajua kitachotokeabiashara ni promotion.....Hata leo wakitangaza miz na lesnar....wakiamua kupromote mbona inabamba
Ni kweli Chief hasa nikiangaliaga Royal rumble huwa nakosa radha ile ya miaka ya 2010 kurudi huko nyumaMieleka ya sasa inapoteza radha.
Comment hii akiiona Baba Mtakatifu atapata matonsesReign is the best wrestler in the world kwa sasa.
Game ya Bobby Lashley alipigwa coz it was worth nothing for him.
Km ingekua wanafight for the title or to qualify for the summer slam, Bobby angechezea vitasa dunia hii hakuna
Poor Roman Reigns........Akipigwa mnatafuta sababu za kujipooza.....Njoo Kwa Lesnar every day is victoryReign is the best wrestler in the world kwa sasa.
Game ya Bobby Lashley alipigwa coz it was worth nothing for him.
Km ingekua wanafight for the title or to qualify for the summer slam, Bobby angechezea vitasa dunia hii hakuna
Baba mtakatifu atapata taabu sana!Comment hii akiiona Baba Mtakatifu atapata matonses
Taabu mnapata nyie mnolazimisha Lesnar aje kupigana wakati hajamaliza kula zake bata.....Kati mchizi wenu anakula kichapo kila day...Baba mtakatifu atapata taabu sana!
Kun kitu AJ stylesRoman Reign ndo best wrestler kwa sasa kule WWE.. Hakuna ubishi
Kuna mtu anaitwa Moose ww, sijui kwanini haend wweDah huyo lashley kiwango chake kimeshuka san hata huko Impact alikuwa anapigwa kila siku na Alberto Der lio isitoshe kule impact kuna mwamba kamkimbia anaitwa Brian cage yaan cn waswas kabisa hata hyo extrme rules atakaa tu kwa roman reigns
AJ styles baada ya kuipangua ile finishing ya Andrade "Cien" Almas kwenye smackdown ya juzi nimekubali ni mtu noma sana!!Kun kitu AJ styles
Hata huyu Cien wadau wanatabiri ana great future, aliwapa mashabiki pambano zuri sana. Ana talentAJ styles baada ya kuipangua ile finishing ya Andrade "Cien" Almas kwenye smackdown ya juzi nimekubali ni mtu noma sana!!
Alivyompiga AJ styles ile finishing mimi nilifikiri amemmaliza ila nilishangaa sana AJ styles kujigusa wakati refa anapiga yale makofi chini!!Hata huyu Cien wadau wanatabiri ana great future, aliwapa mashabiki pambano zuri sana. Ana talent
Anaitwa constable Baron cobinMkali balon goblin huyo, ana cheo siku hizi.
Naipenda sana ile finishing yake,najifunza hiyo finishing yake kwa ajili ya kuadhibu vibaka wakinikaba!Anaitwa constable Baron cobin
Ila jamaa wana shingo ngumu!Naipenda sana ile finishing yake,najifunza hiyo finishing yake kwa ajili ya kuadhibu vibaka wakinikaba!
[emoji23][emoji23][emoji23]Ila jamaa wana shingo ngumu!
Ule ukandamizaji ipo siku kichwa kitazama ndani[emoji23][emoji23][emoji23]
Everday ipii unayo isemea wewe!!, tangu greatest royal rumble huyu lesna hajawah kukanyaga tena wwe!Poor Roman Reigns........Akipigwa mnatafuta sababu za kujipooza.....Njoo Kwa Lesnar every day is victory