Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Hivi kuna tofauti gani ya wrestling ya zaman na ya Sasa...... Mbona wa kina CENA, Randy, undertake, Triple H, Kane.... Mbona bado wapo!!!!!! Na ni lazma waje Watu wapya....... Hata mpira wa Sasa hawachezi akina maradona
 
How was 25 years of Monday Night Raw ......Mlioangalia tupeni updates
 
Mitz ni very coward person na ni muoga sana,hawezi tena kupata ule mkanda!.....Huwa anavizia siku Roman Reign amepigwa na mtu mwingine kisha anakuja kumshambulia in coward way!!
Hayawi hayawi hstimae yakawa..... Wako wapi wale waliosema Mitz hampigi Roman Reign......
 
Ndo nachek mkuu....... Wadau walisema metz hampig roman Reign, ila naona mzee baba kala kichapo heavy
 
Mi nilijua atashinda.... Maana alikuja serious haikawahi tokea...... Akammwambia reins nimekuja kuchkua mkanda wangu..... Watu hawakuamini
 
Nitumie njia gani niweze kufuatilia hizi mechi kwakutumia simu ya iPhone wakuu?
 
Facebook Instagram kwa kweli sio mdau, kwangu imenikalia kushoto sana
 
Daah basi nakushauri nunua king'amuzi cha dstv utakula raha za maisha na kukupunguzia stress za nchi hii
 
Hivi sasa supersport 10 kuna marudio ya royal ramble kwa wale ambao hatukuona jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…