Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

itakuwa live kuanzia saa tisa kamili ya usiku leo hadi saa kumi na mbili na nusu asubuhi supersport 8 na kurudiwa kesho kuanzia saa tatu ya usiku hadi saa tano na nusu usiku supersport 9!
Nashukuru sana mdau
 
Alichokifanya Brock Lesnar ni nini et?
Wanatengeneza story pale na inaonyesha kuwa summerslam paul heyman anamsaliti brock lersnar na kusababisha roman kushinda.
Maana brock anarudi UFC mazima. Ndo maana umemsikia akisema jana he dont care about WWE!!!
So story iko well.planned. na KO atashinda (99%) anaweza chukua brifcase then akacash in usiku huo huo kwa roman....hata asiposhinda The mounster pia atacash in brifcase kama akishinda yeye.
So mwisho wa siku the big dog ataondoka mikono mitupu usiku huo.
 
Hatimae THE BEAST showed up with amazing show....Haya wale mliokuwa na kimuyemuye cha kumuona natumai mmesuuzika vyema.....[emoji23][emoji23]
 
Hatimae THE BEAST showed up with amazing show....Haya wale mliokuwa na kimuyemuye cha kumuona natumai mmesuuzika vyema.....[emoji23][emoji23]
Hana Jipya huyo, maana aligoma kuingia kwenye Ring mpaka Roman alivyotolewa nje ya ARENA
 
Huyu coward champion anamuogopa Roman vibaya sana!!....Roman will kick his ass in Summerslam and send him in UFC as his bitch!!
Yani lesner hathubutu kwenda kwenye uwanja wakati reigns akiwa kwenye jengo... Lioga sana lile jamaa
 
Hivi KWAMFANO lesner akishinda, ule mkanda utabaki wwe au ataenda nao ufc?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…