Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Huyu Aj styles anakomaliwa na akina Resev, akipigwa roba moja na samoe ata submit ushindi bila kupendaWanapigana mwezi huu tarehe 19 kwenye Summerslam, utaona jinsi Samoa Joe atakavyopigwa kipigo cha mbwa koko ndipo utajua kuwa issue ya AJ styles kuwa ni chuma cha pua ni ya ukweli mtupu!!