Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wanapigana mwezi huu tarehe 19 kwenye Summerslam, utaona jinsi Samoa Joe atakavyopigwa kipigo cha mbwa koko ndipo utajua kuwa issue ya AJ styles kuwa ni chuma cha pua ni ya ukweli mtupu!!
Huyu Aj styles anakomaliwa na akina Resev, akipigwa roba moja na samoe ata submit ushindi bila kupenda
 
Huyu Aj styles anakomaliwa na akina Resev, akipigwa roba moja na samoe ata submit ushindi bila kupenda
Samoa Joe wala hatapata nafasi na muda wa kupiga roba!....Mtu ambae anamjua vizuri AJ styles ni Nakamura,hataki kumsikia mtu anaeitwa AJ styles hata kidogo!!
 
Kama unaamini AJ styles ni kitu cha ajabu na heshima yote aliyonayo ni vyema ukaenda kwa mganga wa kienyeji akakupime umelogwa na nani!
Namjua vyema AJ, namkubali sana....ila unapoanza kumfananisha na Lesnar ndo hapo nawaona wote wa ajabu.
 
Yoyote anaemdiss AJ arudi akaangalie match ya LAST MAN STANDING vs Nakamura afu alete mrejesho hapa..
 
Ngoja nimfurahishe Baba mtakatifu
Inst-image-1.jpg
 
Ngoja nimfurahishe Baba mtakatifuView attachment 826950
Hah hah hah Mjinga anakula bata....anaponda raha na watoto wazuri alafu akija kwenye kazi anatoa kichapo kama kawa..

Ila kuna nawashangaa wengine kila kukicha wapo ulingoni, kila day wanafanya mazoezi ila wakikutana na The Beast wanachezea kichapo.

Alafu wanalialia eti Mbona haji ulingoni, asa aje kufanya nn kati hakuna wa kupigana nae bali mna mchosha tu...

Bora ale zake bata tu.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji119] .
Nakubali[emoji2] .

Beast ni noma, ila alilia sana kwa Monster among men[emoji2]
Tazama ile video uone[emoji2]
 
Navyoona, summer slam itakua ivi,

-Roman Reigns wins the wwe universal title

-monster in the bank anapigwa na KO

-Alexa blizz anapigwa na Ronda

-Aj styles anapigwa na Samoe joe

-Shinsuke Nakamura ana retain title

-Camela retains her title.

-B team loose their title

-Dolph anashinda tena
 
Tatizo hii kitu wanapanga wao kule sio ajabu akibuka Ko mshindi
 
Tatizo hii kitu wanapanga wao kule sio ajabu akibuka Ko mshindi
Yeah tatizo matokeo yanapangwa.
Roman atashinda lakini (KO atashinda brifcase akisaidiwa na jinjer mahal then ata cash in usiku huo huo kwa roman) so mwisho wa siku KO ndo ataondoka na mkanda.
Camela atashinda tena.
Aj atashinda
Nakamura atashinda maana randy orton bado atakuja kumsumbua jeff hardy
Baron atapigwa na yule dogo(wanampandisha dogo hapa)
PAUL HEYMAN ataanza kuwa na KO au Stromam maana Brock.lesnar anarudi UFC baada ya summerslam.
Rowsey atashinda
Daniel byran atashinda
Dolph zigler atashinda.
NB:KUMBUKENI PIA WATU HUKO MBELE WANABETI KUHUSU MATOKEO SO HAWA WWE SOMETIMES WANABADILISHA MATOKEO DAKIKA ZA MWISHO KUTOKANA NA FUNGU LINAENDA WAPI( WANACHEZA PAMOJA NA BETTIG COMPANY NADHANI)
 
Back
Top Bottom