Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Huyu Aj styles anakomaliwa na akina Resev, akipigwa roba moja na samoe ata submit ushindi bila kupendaWanapigana mwezi huu tarehe 19 kwenye Summerslam, utaona jinsi Samoa Joe atakavyopigwa kipigo cha mbwa koko ndipo utajua kuwa issue ya AJ styles kuwa ni chuma cha pua ni ya ukweli mtupu!!
Samoa Joe wala hatapata nafasi na muda wa kupiga roba!....Mtu ambae anamjua vizuri AJ styles ni Nakamura,hataki kumsikia mtu anaeitwa AJ styles hata kidogo!!Huyu Aj styles anakomaliwa na akina Resev, akipigwa roba moja na samoe ata submit ushindi bila kupenda
Namjua vyema AJ, namkubali sana....ila unapoanza kumfananisha na Lesnar ndo hapo nawaona wote wa ajabu.Kama unaamini AJ styles ni kitu cha ajabu na heshima yote aliyonayo ni vyema ukaenda kwa mganga wa kienyeji akakupime umelogwa na nani!
Too much obsession with LesnerNamjua vyema AJ, namkubali sana....ila unapoanza kumfananisha na Lesnar ndo hapo nawaona wote wa ajabu.
Tusuburi summer slamHatimae THE BEAST showed up with amazing show....Haya wale mliokuwa na kimuyemuye cha kumuona natumai mmesuuzika vyema.....[emoji23][emoji23]
Joe anakazi kubwa kumshinda Aj style!Samoe Joe hapigwi na AJ Styles
Hah hah hah Mjinga anakula bata....anaponda raha na watoto wazuri alafu akija kwenye kazi anatoa kichapo kama kawa..Ngoja nimfurahishe Baba mtakatifuView attachment 826950
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji119] .Hah hah hah Mjinga anakula bata....anaponda raha na watoto wazuri alafu akija kwenye kazi anatoa kichapo kama kawa..
Ila kuna nawashangaa wengine kila kukicha wapo ulingoni, kila day wanafanya mazoezi ila wakikutana na The Beast wanachezea kichapo.
Alafu wanalialia eti Mbona haji ulingoni, asa aje kufanya nn kati hakuna wa kupigana nae bali mna mchosha tu...
Bora ale zake bata tu.
Tatizo hii kitu wanapanga wao kule sio ajabu akibuka Ko mshindiNavyoona, summer slam itakua ivi,
-Roman Reigns wins the wwe universal title
-monster in the bank anapigwa na KO
-Alexa blizz anapigwa na Ronda
-Aj styles anapigwa na Samoe joe
-Shinsuke Nakamura ana retain title
-Camela retains her title.
-B team loose their title
-Dolph anashinda tena
Aj ashawahi kupigana na lesnar na alipigwa mpaka akachanganyikiwaUnazn AJ ana weza simama mbele ya Lesnar na akshinda!???
Waambie haoAj ashawahi kupigana na lesnar na alipigwa mpaka akachanganyikiwa
Samoa joe atakula kipigo cha mbwa koko mapema sana!Hana pumzi ya kumpiga Samoa Joe
Baba mtakatifu kwenye Summerslam atapata taabu sana na Lesnar wake!!Ngoja nimfurahishe Baba mtakatifuView attachment 826950
Yeah tatizo matokeo yanapangwa.Tatizo hii kitu wanapanga wao kule sio ajabu akibuka Ko mshindi