NaughtyGuy
JF-Expert Member
- Nov 10, 2017
- 1,747
- 1,939
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kile kipigo alichopigwa japo ni cha dakika tano tu ila cha moto amekiona!!Alexa Bliss amekoma kidomo domo kwisha 😂😂
Nimefurahi sana Runday Russy sio kiboko ana staili za heshima.. [emoji2] Leo alikuwa hana pakukimbia kama siku zote.Kile kipigo alichopigwa japo ni cha dakika tano tu ila cha moto amekiona!!
Kashindwa kwa Disqualification hupotezi mkanda ila mtarudia muda wowote sio lazima events. Hata mm nisinge kubali unidhalilishe familia kiovyo piga viti saana[emoji2][emoji2] ila hata gemu ingeendelea bado Joe hamuwezi AJ angepigwa tuu
Mpango? We vipi gemu imepigwa tena kali na jamaa kachukua huo mpango ulipangwa lini? Hebu jiongoze bwanaaKila kitu kipo scripted, Lesnar alikuwa kwenye mpango wa kuachana na wwe na pia sasa hivi wameamuaa kumpa kijiti The big dog awe kama nembo ya wwe.
Mkuu, marudio ya summerslam ni lini?Mkuu tunavyosemaga Lesnar ni coward champion maana yake ndiyo hiyo!!
Endelea kujifariji mkuu!! Itakua umesimuliwa ujaangalia matchKila kitu kipo scripted, Lesnar alikuwa kwenye mpango wa kuachana na wwe na pia sasa hivi wameamuaa kumpa kijiti The big dog awe kama nembo ya wwe.
Sass we huamini kuwa iko scripted?? Yaani mtu amuogope mwenzake kisa kapaka rangi tu mwilini?Endelea kujifariji mkuu!! Itakua umesimuliwa ujaangalia match
Chief kumbuka Strowman bado ni mmiliki halali wa Money in the bank..Braun Strowman ni kubwa jinga!!......people are not cash in like that man!!
Nakubaliana na wewe LESNAR hawezi kupigwa kirahisi vile 100%hii imepangwaOne on one, Roman hamuwezi Lesnar. Huu ni ukweli. Summerslam ilipangwa matokeo. Lesnar licha ya kwamba simkubali, hawezi pigwa na Roman tena kirahisi namna ile.