Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Pole yao mashabiki wa Brock Lesnar wakiongozwa na kiongozi wao mtakatifu-baba mtakatifu kwa sababu wamepata taabu sana leo!
 
Hivi Aj style kashinda? Mbona kaondoka na mkanda?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kashindwa kwa Disqualification hupotezi mkanda ila mtarudia muda wowote sio lazima events. Hata mm nisinge kubali unidhalilishe familia kiovyo piga viti saana[emoji2][emoji2] ila hata gemu ingeendelea bado Joe hamuwezi AJ angepigwa tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila kitu kipo scripted, Lesnar alikuwa kwenye mpango wa kuachana na wwe na pia sasa hivi wameamuaa kumpa kijiti The big dog awe kama nembo ya wwe.
 
Kila kitu kipo scripted, Lesnar alikuwa kwenye mpango wa kuachana na wwe na pia sasa hivi wameamuaa kumpa kijiti The big dog awe kama nembo ya wwe.
Endelea kujifariji mkuu!! Itakua umesimuliwa ujaangalia match
 
Endelea kujifariji mkuu!! Itakua umesimuliwa ujaangalia match
Sass we huamini kuwa iko scripted?? Yaani mtu amuogope mwenzake kisa kapaka rangi tu mwilini?
Nilisema kitambo lesnar anaachana na wwe anaenda ufc ndo anapapenda zaidi na juzi kati wameshindwana na wwe maana alikuwa anataka awe na mikataba miwili wwe na ufc sema wameshindwana..so ilikuwa lazima apigwe jana usiku ili aondoke mazima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
One on one, Roman hamuwezi Lesnar. Huu ni ukweli. Summerslam ilipangwa matokeo. Lesnar licha ya kwamba simkubali, hawezi pigwa na Roman tena kirahisi namna ile.
 
Back
Top Bottom