Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Hayawi hayawi hstimae yakawa..... Wako wapi wale waliosema Mitz hampigi Roman Reign......
Wala hajapigwa na the Miz bali ni vile vijamaa vya the miz vimechangia!....Wakienda one to one na the miz wala dakika kumi haziishi bila the Miz kupigwa!!.....Hata hivyo nakuambia the Miz hatakaa na huo mkanda ndani ya wiki mbili bila kunyang'anywa na Reign na pia vile vijamaa vijiandae kwa kipigo cha mbwa mwitu!!
 
Nakamuraaaaaaa huyu mjapanii
 
The miz hamuwezii roman hata robo ila roman anaumwa mkono ..ndo maana performance iko chini kidogo
 
Sasa kama Mitz hamwez Roman Reign.... Mbona kampiga na mkanda kamnyang'anya...... Au tunatumia kipimo gani kujua huyu hamwez huyu
 
Wale jamaa wawili waoga hata mi nawavunja
ni waoga ila huwa wanaplay crucial role katika Roman kupigwa!!....Wakati Roman akiwa anajaribu kupambana nao then the Miz huwa anatake opportunity!!....Kwa kifupi huwa wanamdistract Roman na kumuondoa kwenye mipango thabiti ya kumpiga Miz!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…