Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Fight anyone!...kumbe kurt Angle anajua kuwa wewe ni jeuri na anakupanga mechi za kuchezea kichapo cha mbwa koko tu kila siku!![emoji116]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichapo walichopata hawatakua na hamu tena ya kuchezea wakubwa.Fight anyone!...kumbe kurt Angle anajua kuwa wewe ni jeuri na anakupanga mechi za kuchezea kichapo cha mbwa koko tu kila siku!![emoji116]View attachment 769565
Huyu mwamba Jana kwenye Raw Kurt kampanga na Braun kwenye money in the bank qualification match, ila kilichompata ni zaidi ya kipigo cha mbwa CoCo..Fight anyone!...kumbe kurt Angle anajua kuwa wewe ni jeuri na anakupanga mechi za kuchezea kichapo cha mbwa koko tu kila siku!![emoji116]View attachment 769565
Lakini amejitahidi kumtoa jasho jamaa. Alitoa upinzani wa kutosha kiasiHuyu mwamba Jana kwenye Raw Kurt kampanga na Braun kwenye money in the bank qualification match, ila kilichompata ni zaidi ya kipigo cha mbwa CoCo..
Eti hatachezea tena wakubwa!![emoji23][emoji23][emoji23]Kichapo walichopata hawatakua na hamu tena ya kuchezea wakubwa.
Mkuu Kurt angle ni meneja mwenye akili sana,Kalven Owen na Sami Zayn ni watu jeuri na wenye fujo sana ona walivyokuwa wanasumbua kule Smackdown,kwa hiyo anachofanya Kurt Angle ni kuwaadhibu,kuwadhibiti,kulipiza kisasi na kuwatuliza mshono!!....Yaani wataikimbia raw wenyewe bila kufukuzwa na mtu!!Huyu mwamba Jana kwenye Raw Kurt kampanga na Braun kwenye money in the bank qualification match, ila kilichompata ni zaidi ya kipigo cha mbwa CoCo..
karibu sana uwanjani......Nilikua mbali na jukwaa ila yote kheri
Aisee Seth Rollins asipopata injury yoyote ya kumweka muda mrefu nje jamaa anawasha moto kwa sasa ananikosha jumlisha pumzi na ugumu wake...
hivi Boby leshley si alikuwa Impact......au alikuwa wapi..Wadau kuna mieleka ya kampuni ya impact wresting.huku ndio mieleka halisi watu wanapigana kama hawana akili nzuri.kuna watu wanaruka sarakasi ata ray masterio hawafikii.na wengi finishing zao ni very unique ambazo mtazamaji unafurahia
Yap! Alikuwa impacthivi Boby leshley si alikuwa Impact......au alikuwa wapi..
Namkubali sana dean french lunatic....huku nikimsubiri Dean Ambrose arudi Na bifu lake dhidi ya Samoe Joe na The Bar..
Hivi jose ni mwanamuziki au ni mcheza mieleka??!No way Jose huwa ananifurahisha jinsi anavyoingia ulingoni
Dean Ambrose is returning to WWE to beat people!huku nikimsubiri Dean Ambrose arudi Na bifu lake dhidi ya Samoe Joe na The Bar..
Hivi jose ni mwanamuziki au ni mcheza mieleka??!
this time....am enjoyingWwe monday night raw marudio ss9