Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Fight anyone!...kumbe kurt Angle anajua kuwa wewe ni jeuri na anakupanga mechi za kuchezea kichapo cha mbwa koko tu kila siku!![emoji116]
Happy%20birthday%20to%20-%20KevinOwens!%20-%20YEP!.jpg
 
Huyu mwamba Jana kwenye Raw Kurt kampanga na Braun kwenye money in the bank qualification match, ila kilichompata ni zaidi ya kipigo cha mbwa CoCo..
Lakini amejitahidi kumtoa jasho jamaa. Alitoa upinzani wa kutosha kiasi
 
Huyu mwamba Jana kwenye Raw Kurt kampanga na Braun kwenye money in the bank qualification match, ila kilichompata ni zaidi ya kipigo cha mbwa CoCo..
Mkuu Kurt angle ni meneja mwenye akili sana,Kalven Owen na Sami Zayn ni watu jeuri na wenye fujo sana ona walivyokuwa wanasumbua kule Smackdown,kwa hiyo anachofanya Kurt Angle ni kuwaadhibu,kuwadhibiti,kulipiza kisasi na kuwatuliza mshono!!....Yaani wataikimbia raw wenyewe bila kufukuzwa na mtu!!
 
Wadau kuna mieleka ya kampuni ya impact wresting.huku ndio mieleka halisi watu wanapigana kama hawana akili nzuri.kuna watu wanaruka sarakasi ata ray masterio hawafikii.na wengi finishing zao ni very unique ambazo mtazamaji unafurahia
 
No way Jose huwa ananifurahisha jinsi anavyoingia ulingoni
 
Nilikua mbali na jukwaa ila yote kheri

Aisee Seth Rollins asipopata injury yoyote ya kumweka muda mrefu nje jamaa anawasha moto kwa sasa ananikosha jumlisha pumzi na ugumu wake...
 
huku nikimsubiri Dean Ambrose arudi Na bifu lake dhidi ya Samoe Joe na The Bar..
 
Nilikua mbali na jukwaa ila yote kheri

Aisee Seth Rollins asipopata injury yoyote ya kumweka muda mrefu nje jamaa anawasha moto kwa sasa ananikosha jumlisha pumzi na ugumu wake...
karibu sana uwanjani......

naunga mkono hoja yako ....lakini Fin ballor sema tu hajakaa poa ......ila akitulia seth rollings hafui dafu.
 
Wadau kuna mieleka ya kampuni ya impact wresting.huku ndio mieleka halisi watu wanapigana kama hawana akili nzuri.kuna watu wanaruka sarakasi ata ray masterio hawafikii.na wengi finishing zao ni very unique ambazo mtazamaji unafurahia
hivi Boby leshley si alikuwa Impact......au alikuwa wapi..
 
Back
Top Bottom