Baba Mtakatifu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,332
- 2,465
- Thread starter
- #1,141
hivi mfano wapangiwe seth rollings na the glorious(boby roody) nan atashinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna article niliona inasema anarud mwez wa nane!!, yule jamaa vituko saana KO ajiendae kwa kichapo cha mbwa koko!!Dean Ambrose is returning to WWE to beat people!
tupen updates za Impact....angalau tuwajue hata kwa majinaKuna bonge la mechi jana niliona impact aisee wwe sijaona mijamaa inayopigana kama hii.nenda youtube search drago,aerostar,fantasma vs djz,everret and xavier.uone uondo wa impact
Seth rollens ni moto namkubali sana huyo boby roody sijawahi muona au simfahamu labda jinahivi mfano wapangiwe seth rollings na the glorious(boby roody) nan atashinda
This is boby roode....THE GLORIOUSSeth rollens ni moto namkubali sana huyo boby roody sijawahi muona au simfahamu labda jina
Hawa watamkoma curt angleKichapo walichopata hawatakua na hamu tena ya kuchezea wakubwa.
Alikuwa kule na mpinzani wake mkubwa akiwa ni moosehivi Boby leshley si alikuwa Impact......au alikuwa wapi..
Bobby roody bado sana, anapigwa asubuhi kabisahivi mfano wapangiwe seth rollings na the glorious(boby roody) nan atashinda
Zamani akiwa na Erick Young ndo akikuwa balaaSeth rollens ni moto namkubali sana huyo boby roody sijawahi muona au simfahamu labda jina
boby roode na Aj style jeBobby roody bado sana, anapigwa asubuhi kabisa
Hakumpiga ila kashindaFor what he did Miz is so incredible........Miz kanipigia jef hardy
Na a kirudi tuu The Shield kama kawaa..Dean Ambrose is returning to WWE to beat people!
Seth huyu jamaa anajiamini na anapunzi ni Best for business kaam Triple H alivyo kuwa anamsifiahivi mfano wapangiwe seth rollings na the glorious(boby roody) nan atashinda
Bob Lashley me simuamini kabisa kama Titus onile na yule bogas wake keleee kama chizi alafu wanapigwa kila siku[emoji23][emoji23]Alikuwa kule na mpinzani wake mkubwa akiwa ni moose