Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Mkanda wa wiziwizi!![emoji116][emoji30][emoji30][emoji30].......Kipigo cha mbwa koko kinakuhusu kesho mbwa wewe!![emoji116][emoji116][emoji116]
Instagram%20media%20-%20BlSpQ4dlzZa.jpg
 
Mpaka sasa ni Seth Rollins na AJ Styles ndio waliopiga kazi ya maana kwenye EXTREME RULES
 
Mpaka sasa ni Seth Rollins na AJ Styles ndio waliopiga kazi ya maana kwenye EXTREME RULES
Huyu fala anaeitwa Nakamura tegemeo lake pekee ni low blows!!....Athletic mzuri kama huyu unawezaje kufanya kitu ambacho sheria za WWE haziruhusu!??
 
Haters akina baba mtakatifu watasema kuwa umelogwa wewe![emoji53][emoji53][emoji53]
Kwan The Beast VS The Big Dog ndo kumaanisha Tayar Big dog kashinda....Duuh inaonesha mnateseka sana Lesnar akiendelea kuwa na ule mkanda....Ningekuwa Lesnar ningewarudishia mkanda wao bila hata kupigana....Maana hakuna wa kupigana nae.[emoji23][emoji23]
 
Lesnar ameponea chupuchupu kutumbuliwa na raw manager jana kisa kukwepa kupigana!....Lesnar ni coward champion ever existed!!.....Mashabiki walikuwa wanaimba strip the title! strip the title! strip the title!!
 
Back
Top Bottom