Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Summerslam ... mida ya undertake kurudi.. sijui kama this year atarud lakin
 
Tag te divison kweli wako poa.. Elias, seth, drew, na dean (akitoka injury) wanatakiwa wawe drafted to smackdown kupa changamsha.. Kidogo
I love rand and jeff bt wamesha zeeka.. Fam mpya inatakiwa...
 
I love rand and jeff bt wamesha zeeka.. Fam mpya inatakiwa...
Jeff bado yupo fiti sana!!...Pale smackdown ana uwezo wa kuwapiga wote isipokuwa AJ styles!!....Nakamura na the viper tayari wameshapata kipigo cha mbwa koko kutoka kwa jeff hardy sasa hivi wanachofanya ni kumchangia Jeff!!
 
Hana pumzi ya kumpiga Samoa Joe
Wanapigana mwezi huu tarehe 19 kwenye Summerslam, utaona jinsi Samoa Joe atakavyopigwa kipigo cha mbwa koko ndipo utajua kuwa issue ya AJ styles kuwa ni chuma cha pua ni ya ukweli mtupu!!
 
Back
Top Bottom