Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Hivi wakuu, game ya new day imechezwa saa ngapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ufundi hauna kazi yeyote hata wewe unaweza kufunga mwenyewe!Pamoja na ufundi km 1.5m inafika?
Haya mkuu. Nikiwa na mpango wa kuweka nitakujuzaUfundi hauna kazi yeyote hata wewe unaweza kufunga mwenyewe!
Mkuu kwann wametoa ile cage??Inaanza mechi ya Randy Orton na Jeffy Hardy lol!
Nafikiri ni kwa sababu ya issue iliyomtokea Jeff Hardy!Mkuu kwann wametoa ile cage??
Kama hukuangalia hell in a cell angalia marudio halafu utwambie damu alizovuja AJ styles mdomoni ni za kweli au sioNaomba kujua, hivi mieleka wanapigana kweli au maigizo, naona Kuna Muda mtu anapigwa Katika ngazi, au meza Alafu apasuki ni kweli Ile jamani
Leo imekula kwake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kubwa jinga(Strowman) anapambana na hali yake right now!
Nia jax walirudiana na alexa kwenye xtream rule akashindwa ni rematch ipi tena anataka?Ronda hata simuelewi mimi.
Hivi Nia Jax yupo wapi?
Maana hakupata hata rematch
Hivi dada yetu mpendwa Asuka yuko wapi mkuu?Nia jax walirudiana na alexa kwenye xtream rule akashindwa ni rematch ipi tena anataka?
Asuka yupo SD live na kina beck LinchHivi dada yetu mpendwa Asuka yuko wapi mkuu?
Mbona huwa haonekani siku hizi?Asuka yupo SD live na kina beck Linch
Acha kwanza tabia mbaya yako ya kuangalia marudio!!Wajuzi wa mambo mtujuze, Je AJ styles kapewa ushindi wa bure , au Samoa Joe kajichanganyaaaa
[emoji23] [emoji23] Kweli aseee, Nilijiandaa kinoma noma, ila nikapitwaAcha kwanza tabia mbaya yako ya kuangalia marudio!!
Nia jax majeruhi but super showdown anaweza rudiRonda hata simuelewi mimi.
Hivi Nia Jax yupo wapi?
Maana hakupata hata rematch
Baba Chura uwe unanishtua basi muda wa mieleka!!!Mbona huwa haonekani siku hizi?
Uko vzrr!!Kwa wale ambao wameshaamka kama mimi kwa ajili ya kuangalia hell in the cell tujuane please!!