Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Kevin Owens vs Daniel Bryan on FAST LANE PPV event..

Vince Mcmahon ni Pumbu sana huyu Mzee

what a lovely Day!!
 
Mzee ana wenge sana yule, huyu huyu KO ndo alimdhalilisha mwaka juzi hadi akafukuzwa SD live, leo amepona tu kamwamisha ghafla kutoka raw to SD live, na kumpa Championship match.

Huyu huyu pia ndo kaharibu match ya the man Becky linchy na Rhonda
Hahaaha,we jamanaa wewe

Mzee ni pumbu kumbe ,hahahha

Pata Picha ndo angekuwa anafanana hivyo na jinsi anavyotembeaga kwa maringo
 
Mzee ana wenge sana yule, huyu huyu KO ndo alimdhalilisha mwaka juzi hadi akafukuzwa SD live, leo amepona tu kamwamisha ghafla kutoka raw to SD live, na kumpa Championship match.

Huyu huyu pia ndo kaharibu match ya the man Becky linchy na Rhonda
So jina la pumbu ni halali yake au sio??
 
Nasubir nione team gan itaweza kuwastop

Ricochet and Aleister Black

Wananikosha sana hawa vijana kutoka NXT.
images-13.jpeg
images-14.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom