Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,348
- 3,305
Kevin Owens vs Daniel Bryan on FAST LANE PPV event..
Vince Mcmahon ni Pumbu sana huyu Mzee
what a lovely Day!!
Vince Mcmahon ni Pumbu sana huyu Mzee
what a lovely Day!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaha,we jamanaa weweKevin Owens vs Daniel Bryan on FAST LANE PPV event..
Vince Mcmahon ni Pumbu sana huyu Mzee
what a lovely Day!!
Hahaaha,we jamanaa wewe
Mzee ni pumbu kumbe ,hahahha
Pata Picha ndo angekuwa anafanana hivyo na jinsi anavyotembeaga kwa maringo
So jina la pumbu ni halali yake au sio??Mzee ana wenge sana yule, huyu huyu KO ndo alimdhalilisha mwaka juzi hadi akafukuzwa SD live, leo amepona tu kamwamisha ghafla kutoka raw to SD live, na kumpa Championship match.
Huyu huyu pia ndo kaharibu match ya the man Becky linchy na Rhonda
So jina la pumbu ni halali yake au sio??
Ok,nasikia dean ambrose anaondoka wwe kweli hii?Sorry, sidhani kama niko kwenye nafasi ya kuhalalisha/kutohalalisha hilo jina.
Haijawa official, bado ni rumors na zilikuzwa baada ya mkataba wake wa sasa kukaribia mwisho,Ok,nasikia dean ambrose anaondoka wwe kweli hii?
Ok,nasikia dean ambrose anaondoka wwe kweli hii?
Kivip aisee
Kivip aisee
Hats Seth aliwahi kuwa hivyo katika kundi lao lileHaeleweki ni mrengo gani, Leo anakuwa na ww, Mara kesho kakugeuka, Mara ana hasira hasira sjui sifa zile ....hata simwelewagi
Sent using Jamii Forums mobile app
Karejea na ameshapigana, aliingia kumsaidia Dean Ambrose alipokuwa anapambana na mc tyredrew.Wakuu ni kweli THE BIG DOG amerejea ulingoni
Msenge Mr. McMahonKevin Owens vs Daniel Bryan on FAST LANE PPV event..
Vince Mcmahon ni Pumbu sana huyu Mzee
what a lovely Day!!
Mkuu awa waxenge wanapiga had rahaNasubir nione team gan itaweza kuwastop
Ricochet and Aleister Black
Wananikosha sana hawa vijana kutoka NXT.View attachment 1034729View attachment 1034730
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatimaye it is happeningNachoona ni kwamba championship ya wanawake inaenda kuwa tripple threat pale Wrestlemania... Ronda Rousey vs. Charlotte Flair vs. Becky Lynch
Sent using Jamii Forums mobile app
Nachoona ni kwamba championship ya wanawake inaenda kuwa tripple threat pale Wrestlemania... Ronda Rousey vs. Charlotte Flair vs. Becky Lynch
Sent using Jamii Forums mobile app