Wanajukwaa la Mitindo.
Kiatu kikali kinabadirisha muonekano wako kabisa. Sasa kwakua kila mtu ana fleva yake ya kiatu, unaweza share ulichovaa leo wengine tukaona labda tunaweza pata idea mpya ya viatu.
Ikiwa siku ya kazi, unavaa casual or una meeting na maboss unavaeje?
View attachment 3028032View attachment 3028033View attachment 3028034
Au mwamba wa site, gereji, tanesco wakata umeme, umevalia nn leo chini?
View attachment 3028035
Watu wa raba j3 hadi j2 vipi mapigo yenu kwa leo?
View attachment 3028036View attachment 3028037
Ukiwa job, street, mishe mishe, ghetto, etc ebu share na sisi mguuni umetupia nn, kama peku au socks potezea..
View attachment 3028038