Wadau wa Mitindo: Umevaa Kiatu gani Leo?

Wadau wa Mitindo: Umevaa Kiatu gani Leo?

Wanajukwaa la Mitindo.

Kiatu kikali kinabadirisha muonekano wako kabisa. Sasa kwakua kila mtu ana fleva yake ya kiatu, unaweza share ulichovaa leo wengine tukaona labda tunaweza pata idea mpya ya viatu.

Ikiwa siku ya kazi, unavaa casual or una meeting na maboss unavaeje?
View attachment 3028032View attachment 3028033View attachment 3028034

Au mwamba wa site, gereji, tanesco wakata umeme, umevalia nn leo chini?
View attachment 3028035

Watu wa raba j3 hadi j2 vipi mapigo yenu kwa leo?
View attachment 3028036View attachment 3028037

Ukiwa job, street, mishe mishe, ghetto, etc ebu share na sisi mguuni umetupia nn, kama peku au socks potezea..
View attachment 3028038
Kimtindo
 
IMG_20240724_080915~2.jpg
 
Diesel, Vans,Converse,Roberto Costa,teva,ndala kasheba,boyeboye,babujii,makatambuga,ndala,cha cha cha aisee english boot miaka ya 80 acha tu hiyo kiatu.
 
Kwenye huu uzi wanaume tunatolewa knockout soon 🥹🥹

Una pair 2 wanawake wana pair hadi wanaibiwa hawajui
Nimekuzingatia, unajipendelea sana miguuni. Hafu unajua kucheza na suruali. Kuna moka moja kali sana hapo juu.
 
Back
Top Bottom