Wadau wa Muziki Nigeria wamponda Diamond Platnumz kwa kuiba nyimbo zao

Wadau wa Muziki Nigeria wamponda Diamond Platnumz kwa kuiba nyimbo zao

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Kwa wale mliiona ile post ya Diamond kipande cha wimbo wake mpya na Wizkid akapost emoji ya kucheka mkae mkijua tu huko Nigeria jamaa washamchukulia ni kilaza anayegeza hits za huko na ku twist kidogo kisha kuwaletea Watanzania

naija 1.PNG
naija 2.PNG
naija 3.PNG
 
Kigoma Independent akiona hii ataharisha damu.
Unajua hii kuigaiga ma miziki ya naija mara ama piano tunajichoresha tu...kuna kipindi davido alipokuja hapa alisikia nyimbo ya kachiri ya njenje kuna vionjo akaiba akaweka kwenye nyimbo yake tuna vionjo vingi vya kwetu basi tu
Ila jamaa ajingalie sana sijui ndo ile principle ya kila kiendacho juu kitarudi chini?
 
Tuseme kwa sasa hakuna bongo fleva kama bongo fleva.
Weekend nimeskiliza EA Radio top 20 za bongo hakuna bongo fleva pale.
Tatizo si mtu, mondi, mapiano nk tatizo lipo kwa fans wanaokubali kupokea na kushabikia utopolo.
 
Huenda ni kweli alimuibia wimbo H baba ule wa nataka kulewa
ni kweli ile story siyo uongo yeye akadai wema sepetu ndiye alimpa idea
Tuseme kwa sasa hakuna bongo fleva kama bongo fleva.
Weekend nimeskiliza EA Radio top 20 za bongo hakuna bongo fleva pale.
Tatizo si mtu, mondi, mapiano nk tatizo lipo kwa fans wanaokubali kupokea na kushabikia utopolo.
ali kiba/kings music bado wanaimba bongo fleva
 
Sadala siku hizi hana ubunifu remix zake nyingi ni marudio ya nyimbo zilizohit nyumbani kwa wasanii nje ya Tanzania. Shukrani kwa davido kumtambulisha nigeria ila mwisho wa siku akapata shukrani ya punda bado akina psquare wakaambulia kashfa
 
Kama kugezea nyimbo ni rahisi na nyie nendeni mkagezee,
Aliyocopy ipi?Mbagala,Kidogodogo,nakumbuka,waaa,au ipi?
Mti wenye matunda.......?mnaonaje mumshitue Mr nice naye aende akacopy Ili atokelezee.
 
Kama kugezea nyimbo ni rahisi na nyie nendeni mkagezee,
Aliyocopy ipi?Mbagala,Kidogodogo,nakumbuka,waaa,au ipi?
Mti wenye matunda.......?mnaonaje mumshitue Mr nice naye aende akacopy Ili atokelezee.
si ndo maana wamemsifu kwa kufanya video kali baada ya ku kopi madesa? ingia kwenye tweets za huyo jamaa ni vurugu tupu huko
 
Back
Top Bottom