Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mwizi sawa, sema akikuibia kitu anakifanya vizuri mara 100 zaidi yako hadi we mwenyewe unabaki kufurahia utamuDiamond aliiba mashairi ya Alikiba, aliyoimba kwenye ushiriki wa wimbo wa Diamond mwenyewe, akamtoa Alikiba na kuimba yeye mashairi.
Na akaiba idea ya H Baba akaenda kurekodi wimbo wa Nataka Kulewa, wakati huo akiwa nchini ya usimamizi wa Racque ambaye kwa sasa ni mpiga picha wa Rais wa Zanzibar.
Kama vile hiyo haitoshi, akaiba wimbo wa Naumia wa Dayna Nyange aliomsikilizisha ili afanye naye collabo, lakini akaiba midundo na melody kisha akaenda kurekodi wimbo wa Number One.
Ova
Unajua hii kuigaiga ma miziki ya naija mara ama piano tunajichoresha tu...kuna kipindi davido alipokuja hapa alisikia nyimbo ya kachiri ya njenje kuna vionjo akaiba akaweka kwenye nyimbo yake tuna vionjo vingi vya kwetu basi tu
Ila jamaa ajingalie sana sijui ndo ile principle ya kila kiendacho juu kitarudi chini?
Hi ni kwel kabisa aliibaHuenda ni kweli alimuibia wimbo H baba ule wa nataka kulewa
Huwa hakuna mwizi mwema. Mwizi ni kiumbe kisichofaa kwenye jamii.ni mwizi sawa, sema akikuibia kitu anakifanya vizuri mara 100 zaidi yako hadi we mwenyewe unabaki kufurahia utamu
Huo wimbo wake mpya unaofanana na Essence ya Wiz unaitwaje?!Kwa wale mliiona ile post ya Diamond kipande cha wimbo wake mpya na Wizkid akapost emoji ya kucheka mkae mkijua tu huko Nigeria jamaa washamchukulia ni kilaza anayegeza hits za huko na ku twist kidogo kisha kuwaletea Watanzania
Wazee wa mitaani hawawezi kutoa laana kwa watoto wasio waoLaana ya Mzee Abdul
Kwa hiyo unatuambia kwamba huyu mwanaume amekushika akilisi ndo maana wamemsifu kwa kufanya video kali baada ya ku kopi madesa? ingia kwenye tweets za huyo jamaa ni vurugu tupu huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kigoma Independent akiona hii ataharisha damu.
Nikweli mbna, domokaya ni mwizi hataree, halafu linapenda sana kuchukua idea za wizkid, msieeeew zake.Huenda ni kweli alimuibia wimbo H baba ule wa nataka kulewa
Mzee wa Control C &Control V...hahahahamzee wa ctrl c ctrl v.. sadala
Wazee wa mitaani hawawezi kutoa laana kwa watoto wasio wao
Mama mwenye mtoto ametamka kwenye Media hadharani kuwa Diamond baba yake ni Nyange, sasa wewe unambishia ulibeba wewe Mimba? AhahahahahaHuyo unaesema ni baba ake OG ulimshikia miguu akojoe ndani ndio ukawa shahidi?
Diamond muziki umemshinda ana mwili wa mieleka mzuri tu mbonaKwa wale mliiona ile post ya Diamond kipande cha wimbo wake mpya na Wizkid akapost emoji ya kucheka mkae mkijua tu huko Nigeria jamaa washamchukulia ni kilaza anayegeza hits za huko na ku twist kidogo kisha kuwaletea Watanzania
View attachment 1824519View attachment 1824520View attachment 1824521
Akishinda nitakunya mafunfu madogo madogo kuroka Airport Hadi kitundashulewanaijeria wameshajua jamaa ndiyo mshindi wa bet kwahiyo wameanza kumsagia kunguni mapema baada ya kuwagalagaza wasanii wao
Au siyo..wanaijeria wameshajua jamaa ndiyo mshindi wa bet kwahiyo wameanza kumsagia kunguni mapema baada ya kuwagalagaza wasanii wao