nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Wizi kid akapost emoji ya kucheka ni kipande cha wimbo wake mpya sasa wadau wa music nigeria wanaanza kufanya scrutiny wanagundua anavyo modify idea zaoKwani diamond Katoa wimbo gani official release au kile kipande cha video alichopost insta akiwa na mtoto mzur ?
Ingia kwenye tweets za huyo jamaa Joey akan aisee wamemsagia kunguni za hali ya juu sema wengi wanamsifia sana kwamba akishamalizia kugeza anaweka sana efforts kwenye video nzuriNdio ukisikiliza essence ya Wizkid na hiyo copy ya diamond
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Unajua hii kuigaiga ma miziki ya naija mara ama piano tunajichoresha tu...kuna kipindi davido alipokuja hapa alisikia nyimbo ya kachiri ya njenje kuna vionjo akaiba akaweka kwenye nyimbo yake tuna vionjo vingi vya kwetu basi tuKigoma Independent akiona hii ataharisha damu.
Ni kweli ile story siyo uongo yeye akadai wema sepetu ndiye alimpa ideaHuenda ni kweli alimuibia wimbo H baba ule wa nataka kulewa
Kumbe H baba yupo sahihi me nilidhan jamaa anazingua tuni kweli ile story siyo uongo yeye akadai wema sepetu ndiye alimpa idea
ni kweli ile story siyo uongo yeye akadai wema sepetu ndiye alimpa ideaHuenda ni kweli alimuibia wimbo H baba ule wa nataka kulewa
ali kiba/kings music bado wanaimba bongo flevaTuseme kwa sasa hakuna bongo fleva kama bongo fleva.
Weekend nimeskiliza EA Radio top 20 za bongo hakuna bongo fleva pale.
Tatizo si mtu, mondi, mapiano nk tatizo lipo kwa fans wanaokubali kupokea na kushabikia utopolo.
Bongo fleva ya ali kiba/kings ndio hii ndombolo?ni kweli ile story siyo uongo yeye akadai wema sepetu ndiye alimpa idea
ali kiba/kings music bado wanaimba bongo fleva
si ndo maana wamemsifu kwa kufanya video kali baada ya ku kopi madesa? ingia kwenye tweets za huyo jamaa ni vurugu tupu hukoKama kugezea nyimbo ni rahisi na nyie nendeni mkagezee,
Aliyocopy ipi?Mbagala,Kidogodogo,nakumbuka,waaa,au ipi?
Mti wenye matunda.......?mnaonaje mumshitue Mr nice naye aende akacopy Ili atokelezee.