NAFIKIRE
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 660
- 456
Wasalaam ndugu zangu,
Kwanza nianze na pongezi kwa mikoa ya Dar-es Salaam, Dodoma, na Kilimanjaro kupongezwa na Mheshimiwa Rais Jana kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kwenye uchumi wa nchi yetu.
Ndugu zangu kilichonishangaza kwenye pongezi hizo ni kujitokeza kwa mkoa wa Kilimanjaro na kuacha nyuma mkoa wenye dhahabu Geita, na mikoa mingine Kama Mwanza, Arusha, Mbeya na Ruvuma?
Ndugu zangu wataalam wa uchumi ningefurahi kujua ni vigezo gani au ni sababu gani zinazofanya mkoa wa Kilimanjaro kuchangia pakubwa na kushinda mikoa Kama Geita, Mwanza, Mbeya, Arusha na Ruvuma.