Wadau wa uchumi inakuwaje mkoa wa Kilimanjaro unachangia pakubwa kwenye uchumi wa Tanzania kuzidi mkoa wa Geita?

Wadau wa uchumi inakuwaje mkoa wa Kilimanjaro unachangia pakubwa kwenye uchumi wa Tanzania kuzidi mkoa wa Geita?

Wasalaam ndugu zangu,

Kwanza nianze na pongezi kwa mikoa ya Dar-es Salaam, Dodoma, na Kilimanjaro kupongezwa na Mheshimiwa rais Jana kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kwenye uchumi wa nchi yetu.

Ndugu zangu kilichonishangaza kwenye pongezi hizo ni kujitokeza kwa mkoa wa Kilimanjaro na kuacha nyuma mkoa wenye dhahabu Geita, na mikoa mingine Kama Mwanza, Arusha, Mbeya na Ruvuma?

Ndugu zangu wataalam wa uchumi ningefurahi kujua ni vigezo gani au ni sababu gani zinazofanya mkoa wa Kilimanjaro kuchangia pakubwa na kushinda mikoa Kama Geita, Mwanza, Mbeya, Arusha na Ruvuma.
Mlango wa kuingia watalii uko KIA wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro
 
Wasalaam ndugu zangu,

Kwanza nianze na pongezi kwa mikoa ya Dar-es Salaam, Dodoma, na Kilimanjaro kupongezwa na Mheshimiwa rais Jana kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kwenye uchumi wa nchi yetu.

Ndugu zangu kilichonishangaza kwenye pongezi hizo ni kujitokeza kwa mkoa wa Kilimanjaro na kuacha nyuma mkoa wenye dhahabu Geita, na mikoa mingine Kama Mwanza, Arusha, Mbeya na Ruvuma?

Ndugu zangu wataalam wa uchumi ningefurahi kujua ni vigezo gani au ni sababu gani zinazofanya mkoa wa Kilimanjaro kuchangia pakubwa na kushinda mikoa Kama Geita, Mwanza, Mbeya, Arusha na Ruvuma.
Hizo ni takwimu za kupikwa.wachumi ni wataalam sana wa kucook data tofauti na wahasibu ambao wako too realistic.wachumi ni wanasiasa
 
MANGI KINACHOBEBA MKOA KUWA N GDP KUBWA PAMOJA NA UWEPO WA IDADI NDOGO YA WAKAZI NI UWEPO WA VIWANDA HATA KAMA SI VINGI ILA VINABEBA SANA MKOA
Kilimanjaro kuna viwanda gani.mm nimeishi miaka saba kule maisha ni magumu sana hata utafutaji wa maisha ni mgumu sana ndo maana watu wa kule wanajihusisha sana na biashara haramu.
 
Watumishi wa Umma wengi ni incompetent sana kama alivyosema CAG Assad takribani 75% hawajielewi.

Mchango wa Mkoa kwenye Uchumi wa Nchi unapimwa Kwa GDP na sio makusanyo ya Fedha zinazotokana na TRA.

Sasa wao walitakiwa waipongeze hiyo Mikoa Kwa kuchangia Mapato mengi ya TRA badala ya kusema eti inachangia sana Uchumi,huo ni uongo na kutojielewa wanachosema unless waseme wazi ni nini hasa walichokuwa wanamaanisha.

Kwa minajirinya Ukubwa wa Uchumi wa Mikoa GDP,Geita imezidi Kilimanjaro.

GDP ya Geita (2022) ni 7.7Trilioni vs Kilimanjaro 7.5Trilion

The Top 3 heavy weights ni Dar,Mwanza na Mbeya View attachment 3056662
Dodoma iko namba ngapi Mkuu?
 
Kuna jamaa aliniambia Kilimanjaro mmebarikiwa mmepewa rasilimali ya kudumu. Ule mlima mpaka Yesu anarud mtakuwa mnakula tu. Nikammwambia kiukweli ule mlima cjui kama kuna mtu anaefaidika nayo zaid ya serikali.
 
ule mlima wetu hata ukiwa kenya utauangalia tu ila huwezi kuufikia bila kufika kilimanjaro, pia, airport ya KIA ni moja ya airport inayotua ndege bora na kubwa ambazo zingine hata dsm hazitui, na watalii wengi wanaoenda arusha wanapigia KIA, pia, kibiashara ipo karibuna Arusha. kwanini mapato yasiwe mengi?
 
Kuna jamaa aliniambia Kilimanjaro mmebarikiwa mmepewa rasilimali ya kudumu. Ule mlima mpaka Yesu anarud mtakuwa mnakula tu. Nikammwambia kiukweli ule mlima cjui kama kuna mtu anaefaidika nayo zaid ya serikali.
MJINGA SANA WEWE YALE MAHOTELI YALIYOKO MARANGU NA MACHAME YANAMILIKIWA NA SERIKALI?
 
Kilimanjaro kuna viwanda gani.mm nimeishi miaka saba kule maisha ni magumu sana hata utafutaji wa maisha ni mgumu sana ndo maana watu wa kule wanajihusisha sana na biashara haramu.
KIWANDA KIMOJA TU CHA BIA NI ZAIDI YA MGODI KWA ULIPAJI WA KODI MKUU
 
M
Kilimanjaro kuna viwanda gani.mm nimeishi miaka saba kule maisha ni magumu sana hata utafutaji wa maisha ni mgumu sana ndo maana watu wa kule wanajihusisha sana na biashara haramu.
KUU JARIBU KUWA FAIR WAKATI MWINGINE, NI MKOA GANI HAPA NCHNI WENYE MAISHA BORA HASWA KWA MAISHA YA KIJIJINI KUZIDI MKOA WA KILIMANJARO? KIUHALISIA HUWEZI KUKUTA KIJIJI CHOCHOTE NCHI HII CHENYE LEVEL YA MAENDELEO YA MARANGU AU MACHAME
 
Tatizo la watanzania wengi wana wivu uliopandikzwa na wanasiasa na hawa kwa mkoa wa Kilimanjaro na wengi wanadhani kodi ya dhahabu ndiyo kodi kubwa kuliko mimi nimefanya kazi mikoa mingi na Kilimanjaro ni mojawapo mkoa Kilimanjaro kuna kuna shughuli nyingi zilizopo kwenye mfumo wa kodi ardhi ya kilimanjo yote inazalisha ukianzia west Kilimanjaro mpaka ufike tena Rongai ya rombo shughuli za uzalisha ni kikubwa hakuna mapori Kilimanjaro hata tamisemi mkoa wa Kilimanjaro unatengewa fungu kubwa kwa maana watumishi wapo wengi kulingana na idara nyingi za zipo Kilimanjaro geita au mbeya uwezi linganisha na Kilimanjaro hata kaya za mkoa Kilimanjaro zipo karibu karibu eneo lenye tarafa tano za uchagani ni ndogo kuliko eneo la kata moja ya Rungwa Manyoni hiv
biashara mtaani, watalii kilimanjaro, airport ya KIA. vitu vikubwa sana hivyo.
 
Y
M

KUU JARIBU KUWA FAIR WAKATI MWINGINE, NI MKOA GANI HAPA NCHNI WENYE MAISHA BORA HASWA KWA MAISHA YA KIJIJINI KUZIDI MKOA WA KILIMANJARO? KIUHALISIA HUWEZI KUKUTA KIJIJI CHOCHOTE NCHI HII CHENYE LEVEL YA MAENDELEO YA MARANGU AU MACHAME
Yaani huyo hajui mkoa wa Kilimanjaro hata chembe eti kuna kiwanda gani Kilimanjaro anajua kuna shamba makubwa yanaingiza pato kubwa wengi wanachuki na Kilimanjaro ardhi ya Kilimanjaro yote inaingiza kodi hakuna mapori hewa Kilimanjaro
 
Mkuu mikoa kama Mwanza, na Mbeya ndiyo inachangia pakubwa kwenye ukuaji wa uchumi shida yake ni kuwa bidhaa zake kama mazao ya kilimo, ufugaji na uvuvi pamoja na madini hayakatwi Kodi na TRA kwa maana hiyo mikoa hii inaonekana inachangia padogo kiuchumi lakini kiuhalisia mikoa ya Mwanza na Mbeya Ina mchango mkubwa kiuchumi pengine kuliko mikoa mingine yote isipokuwa labda Dar es salaam. Mikoa ya kama Dar es salaam imejaa wachuuzi na hao ndiyo wadau wa TRA lakini mwanza na Mbeya pamoja na Geita kumejaa wazalishaji. Akili kichwani...
Vitu vingi vinatoka mikoani vinapelekwa Dar vinaonekana ni vya Dar, siamini Dodoma kama inaweza kuizidi Kahama au Arusha
 
Kuna jamaa aliniambia Kilimanjaro mmebarikiwa mmepewa rasilimali ya kudumu. Ule mlima mpaka Yesu anarud mtakuwa mnakula tu. Nikammwambia kiukweli ule mlima cjui kama kuna mtu anaefaidika nayo zaid ya serikali.
Wananchi wanafaidi sana maji ya mlima Kilimanjaro tatizo watu wengi wanapita toka moshi kwenda Arusha wanadhani tayari wanapajua Kilimanjaro tembeleakuanzia mashariki ndani ndani uataamini mzunguko wa pesa ni mkubwa ila wananchi kila mtu ni mjanja hawavuji hela hawaendekezi starehe na Tanzania hakuna mkoa wenye vijiji vilivyo endelea kama vijiji vya uchagani utofauti ni mkubwa sana
 
Kahama ina migodi mingapi na Dodoma kuna nini? Arusha izidiwe na Kilimanjaro na Dodoma? tuache utani mwenyewe nipo Moshi lakini takwimu hizi hapana
Hakuna mtu amesema Arusha imezidiwa na Kilimanjaro,mtoa mada alipotoka kunukui taarifa.

Kahama Kuna mgodi mmja tuu ,Sasa kamgodi kamoja ndio kalingane na Jiji? Kw ai hujui Service industry Kwa Dom ni kubwa kushinda Hako kagulio kenu?

Ni lini Kahama imeizidi Tunduma labda maana ndio size Moja japo Kwa Mapato Tunduma ni zaidi ya Hilo Gulio la Kahama ambalo liko overrated.
 
Back
Top Bottom