tamsana
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 3,739
- 8,044
Mabeberu wanabeba zote wanatuachia mashimo.mkoa wenye dhahabu Geita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabeberu wanabeba zote wanatuachia mashimo.mkoa wenye dhahabu Geita
Na bado dhahabu zikiisha wananchi wa Geita wataachiwa mashimo tu na ardhi yenye sumu. Kilimanjaro ule mlima upo tu labda ipatikane njia yakuubeba uhamishiwe Dar au DodomaWasalaam ndugu zangu,
Kwanza nianze na pongezi kwa mikoa ya Dar-es Salaam, Dodoma, na Kilimanjaro kupongezwa na Mheshimiwa rais Jana kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kwenye uchumi wa nchi yetu.
Ndugu zangu kilichonishangaza kwenye pongezi hizo ni kujitokeza kwa mkoa wa Kilimanjaro na kuacha nyuma mkoa wenye dhahabu Geita, na mikoa mingine Kama Mwanza, Arusha, Mbeya na Ruvuma?
Ndugu zangu wataalam wa uchumi ningefurahi kujua ni vigezo gani au ni sababu gani zinazofanya mkoa wa Kilimanjaro kuchangia pakubwa na kushinda mikoa Kama Geita, Mwanza, Mbeya, Arusha na Ruvuma.
Wengi sana hawajui na wanampotisha Rais na wanaripoti ndivyo sivyo mambo ya uchumi.Mkuu nafikiri Kunapaswa kuwe kunatolewa elimu namna ya kuwasilisha taarifa za kiuchumi kwa wananchi... Kusema mkoa A uko vizuri zaidi kuliko mikoa B inatakiwa kuweka wazi makusanyo hayo ni katika sekta Gani. Mwaka 2019 mkoa wa Dodoma ukiwekwa kama mkoa wenye makusanyo makubwa kuliko mikoa yote kuondoa Dar es salaam,.Sasa hii inachanganya watu. TRA watuambie kipi kimeikumba Dodoma mpaka haisikiki tena. Elimu ya uchumi ni mhimu.
Basi umelishwa na kukariri ujinga ,Kwa taarifa Yako tuu hata kwenye Mapato ya TRA ,Arusha na Mwanza ziko Juu ya Kilimanjaro achilia mbali Dodoma.Mimi nimejibu mada ya muanzisha uzi hii yako siitambui kama sehemu ya swali nililojibu.
KA MGODI KANA WAFANYA KAZI 2000...MIPAKA NA INCHI JIRANI HAKUNA..wenye uchumi wa wastani ni wafanyakazi wa mgodi...wachimbaji wadogo wengi wako hoi labda wachache wenye plant......unajua kutokutembea ukiwa na jicho la tatu ni hasarasana..wawaulize maproducer wa bidhaa kama sukari pombe na maji... wapi wanauza zaidi au watapendelea kupeleka wapi kabla ya wapi?kila mtu anataka kuuza dar,mwanza mbeya arusha kill and so on...hata shinyanga iko much better than fucking geita...kila mtu anataka kupeleka mtaji wake kahama na sio geita...Kilimanjaro imeizidi Geita kwamaana no modernized almost mkoa wote so. Mzunguko wa pesa ni mkubwa sana kuzidi Geita (mzunguko wa pesa ukiwa mkubwa hata kodi inakusanywa kubwa). Geita ni kamji kadogo sana asee hakuna biashara yakueleweka labda hapo Katoro kidogo ila Geita mjini ndio hewa kabisa.
Zaidi ya wachimbaji wadogo na mgodi mmoja mkubwa mapato hapo hayawezi kuifikia Kilimanjaro inayobebwa pia na sekta ya utalii.
sasa unalia nini basi toa hito Kilimanjaro weka mwanza tuone kama maisha yako yatabadilikaWengi sana hawajui na wanampotisha Rais na wanaripoti ndivyo sivyo mambo ya uchumi.
Rais alisikika alisema uchumi Wetu uko pale pale wakati sio kweli kwba alitakiwa aseme unakua Kwa rate zile zile za 4-5% na sio kusema uko pale pale as if uko stagnant.
Serikali iwe Ina recruit watu wanaotoa taarifa na waandaaji wa taarifa wenye abc za Uchumi sio kujiandia tuu kijinga kijinga.
Ukingalia pale Jana walikuwa wanatoa vyeti kutambua Mikoa iliyofanya vizuri kwenye majadiliano ya kiuchumi na kibiashara ila watu wakaripoto eti Mikoa inayochangia zaidi Uchumi na Mapato Nchini wakati sio kweli.
Mfano Tangu lini Kilimanjaro na Dodoma zikaizisi Arusha Kwa Mapato ya TRA?
Au ni lini Mikoa tajwa ikazisi GDP ya Mbeya na Mwanza? Upuuzi mtupu na upotoshaji sababu ya ujinga.
Unaelimishwa halafu hautaki kujibu duh.sasa unalia nini basi toa hito Kilimanjaro weka mwanza tuone kama maisha yako yatabadilika
Acha kelele na makeke yasiyo na maana kwa vitu vilivyokuzidi uwezo. Uliza, jifunze na ueleweshwe.Mapato ni sehemu ndogo tuu ya Uchumi,by the way wanachouza pale ni Huduma za Utalii ambazo zinapimwa Kwa Fedha kama ambavyo waliozalisha mazao ya Kilimo wanaweza kuwa converted Kwa fedha.
Sio sahihi kabisa kusema eti hiyo Mikoa inachangia sana Uchumi wa Nchi,huo ni uongo,
Wewe ni mjinga,kinatakiwa usahihi wa taarifa sio upotoshaji na ujinga wako.sasa unalia nini basi toa hito Kilimanjaro weka mwanza tuone kama maisha yako yatabadilika
Geita mmetufanya shamba la bibi sana.Wasalaam ndugu zangu,
Kwanza nianze na pongezi kwa mikoa ya Dar-es Salaam, Dodoma, na Kilimanjaro kupongezwa na Mheshimiwa rais Jana kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kwenye uchumi wa nchi yetu.
Ndugu zangu kilichonishangaza kwenye pongezi hizo ni kujitokeza kwa mkoa wa Kilimanjaro na kuacha nyuma mkoa wenye dhahabu Geita, na mikoa mingine Kama Mwanza, Arusha, Mbeya na Ruvuma?
Ndugu zangu wataalam wa uchumi ningefurahi kujua ni vigezo gani au ni sababu gani zinazofanya mkoa wa Kilimanjaro kuchangia pakubwa na kushinda mikoa Kama Geita, Mwanza, Mbeya, Arusha na Ruvuma.
Hapa kuna tuhumaMkuu mikoa kama Mwanza, na Mbeya ndiyo inachangia pakubwa kwenye ukuaji wa uchumi shida yake ni kuwa bidhaa zake kama mazao ya kilimo, ufugaji na uvuvi pamoja na madini hayakatwi Kodi na TRA kwa maana hiyo mikoa hii inaonekana inachangia padogo kiuchumi lakini kiuhalisia mikoa ya Mwanza na Mbeya Ina mchango mkubwa kiuchumi pengine kuliko mikoa mingine yote isipokuwa labda Dar es salaam. Mikoa ya kama Dar es salaam imejaa wachuuzi na hao ndiyo wadau wa TRA lakini mwanza na Mbeya pamoja na Geita kumejaa wazalishaji. Akili kichwani...
Sina hakika ngoja nirejee kwenye GDP maana ndio Kipimo sahihi na sio makusanyo ya TRA Kwa sababu hapa Tanzania Fedha hukusanywa na taasisi mbalimbali.
Hata hivyo tuzo imetolewa kwa.mikoa iliyofanya vizuri kwenye majadiliano 👇👇
View: https://twitter.com/ikulumawasliano/status/1817909202104328266?t=ilYToWDjavVDgoB34BVz7A&s=19
Mbona una hasira sana ndugu hujui sasa hivi Kilimanjaro ni high season kwenye utalii. Au hupendi kusikia mkoa Kilimanjaro unafanya vizuri.Basi umelishwa na kukariri ujinga ,Kwa taarifa Yako tuu hata kwenye Mapato ya TRA ,Arusha na Mwanza ziko Juu ya Kilimanjaro achilia mbali Dodoma.
Nakufafanulia alichonukuu na kuelewa vibaya unakomaa na ujinga wako,Baki hivyo hivyo Mikoa 15 Inayoongoza Kuchangia Kodi za TRA Tanzania
Hakuna Cha high season Wala low season, Kilimanjaro haiwezi na kamwe haitaweza ipita Mapato Arusha au MwanzaMbona una hasira sana ndugu hujui sasa hivi Kilimanjaro ni high season kwenye utalii. Au hupendi kusikia mkoa Kilimanjaro unafanya vizuri.
Cheti wameshapata na umma umejua sasa katoe ripoti ya kukanusha ushindi wao.Hakuna Cha high season Wala low season, Kilimanjaro haiwezi na kamwe haitaweza ipita Mapato Arusha au Mwanza
Ndo ujue upigaji hadi kwenye takwimu upo... Wanasiasa wabaya sana...Wasalaam ndugu zangu,
Kwanza nianze na pongezi kwa mikoa ya Dar-es Salaam, Dodoma, na Kilimanjaro kupongezwa na Mheshimiwa rais Jana kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kwenye uchumi wa nchi yetu.
Ndugu zangu kilichonishangaza kwenye pongezi hizo ni kujitokeza kwa mkoa wa Kilimanjaro na kuacha nyuma mkoa wenye dhahabu Geita, na mikoa mingine Kama Mwanza, Arusha, Mbeya na Ruvuma?
Ndugu zangu wataalam wa uchumi ningefurahi kujua ni vigezo gani au ni sababu gani zinazofanya mkoa wa Kilimanjaro kuchangia pakubwa na kushinda mikoa Kama Geita, Mwanza, Mbeya, Arusha na Ruvuma.
biashara mtaani, watalii kilimanjaro, airport ya KIA. vitu vikubwa sana hivyo.Wasalaam ndugu zangu,
Kwanza nianze na pongezi kwa mikoa ya Dar-es Salaam, Dodoma, na Kilimanjaro kupongezwa na Mheshimiwa rais Jana kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kwenye uchumi wa nchi yetu.
Ndugu zangu kilichonishangaza kwenye pongezi hizo ni kujitokeza kwa mkoa wa Kilimanjaro na kuacha nyuma mkoa wenye dhahabu Geita, na mikoa mingine Kama Mwanza, Arusha, Mbeya na Ruvuma?
Ndugu zangu wataalam wa uchumi ningefurahi kujua ni vigezo gani au ni sababu gani zinazofanya mkoa wa Kilimanjaro kuchangia pakubwa na kushinda mikoa Kama Geita, Mwanza, Mbeya, Arusha na Ruvuma.
Ni cheti Cha majadiliano ya biashara ,Sasa hiyo ndio nini?Cheti wameshapata na umma umejua sasa katoe ripoti ya kukanusha ushindi wao.