Sina hakika ngoja nirejee kwenye GDP maana ndio Kipimo sahihi na sio makusanyo ya TRA Kwa sababu hapa Tanzania Fedha hukusanywa na taasisi mbalimbali.Wasalaam ndugu zangu,
Kwanza nianze na pongezi kwa mikoa ya Dar-es Salaam, Dodoma, na Kilimanjaro kupongezwa na Mheshimiwa rais Jana kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kwenye uchumi wa nchi yetu.
Ndugu zangu kilichonishangaza kwenye pongezi hizo ni kujitokeza kwa mkoa wa Kilimanjaro na kuacha nyuma mkoa wenye dhahabu Geita, na mikoa mingine Kama Mwanza, Arusha, Mbeya na Ruvuma?
Ndugu zangu wataalam wa uchumi ningefurahi kujua ni vigezo gani au ni sababu gani zinazofanya mkoa wa Kilimanjaro kuchangia pakubwa na kushinda mikoa Kama Geita, Mwanza, Mbeya, Arusha na Ruvuma.
Kilimanjaro utalii unaowapatia watu wengi pesa wakati Geita ni vimigodi tu basi na hakuna kilimo cha uhakika kama Kilimanjaro.Hapo hata mimi bado najiuliza.
Utalii ndio unaingiza mapato mengi zaidi nchi hii, Kila mwaka kuna watalii zaidi ya 30,000 wanaotembelea mlima Kilimanjaro.Wasalaam ndugu zangu,
Kwanza nianze na pongezi kwa mikoa ya Dar-es Salaam, Dodoma, na Kilimanjaro kupongezwa na Mheshimiwa rais Jana kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kwenye uchumi wa nchi yetu.
Ndugu zangu kilichonishangaza kwenye pongezi hizo ni kujitokeza kwa mkoa wa Kilimanjaro na kuacha nyuma mkoa wenye dhahabu Geita, na mikoa mingine Kama Mwanza, Arusha, Mbeya na Ruvuma?
Ndugu zangu wataalam wa uchumi ningefurahi kujua ni vigezo gani au ni sababu gani zinazofanya mkoa wa Kilimanjaro kuchangia pakubwa na kushinda mikoa Kama Geita, Mwanza, Mbeya, Arusha na Ruvuma.
Watumishi wa Umma wengi ni incompetent sana kama alivyosema CAG Assad takribani 75% hawajielewi.Wasalaam ndugu zangu,
Kwanza nianze na pongezi kwa mikoa ya Dar-es Salaam, Dodoma, na Kilimanjaro kupongezwa na Mheshimiwa rais Jana kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kwenye uchumi wa nchi yetu.
Ndugu zangu kilichonishangaza kwenye pongezi hizo ni kujitokeza kwa mkoa wa Kilimanjaro na kuacha nyuma mkoa wenye dhahabu Geita, na mikoa mingine Kama Mwanza, Arusha, Mbeya na Ruvuma?
Ndugu zangu wataalam wa uchumi ningefurahi kujua ni vigezo gani au ni sababu gani zinazofanya mkoa wa Kilimanjaro kuchangia pakubwa na kushinda mikoa Kama Geita, Mwanza, Mbeya, Arusha na Ruvuma.
Ndio maana nasema je hao waliotoa tuzo wanaelewa walichomuandikia Rais au ndio Ile ya Assad kwamba 75% ya Watumishi wa Umma ni vilaza?Mkuu mikoa kama Mwanza, na Mbeya ndiyo inachangia pakubwa kwenye ukuaji wa uchumi shida yake ni kuwa bidhaa zake kama mazao ya kilimo, ufugaji na uvuvi pamoja na madini hayakatwi Kodi na TRA kwa maana hiyo mikoa hii inaonekana inachangia padogo kiuchumi lakini kiuhalisia mikoa ya Mwanza na Mbeya Ina mchango mkubwa kiuchumi pengine kuliko mikoa mingine yote isipokuwa labda Dar es salaam. Mikoa ya kama Dar es salaam imejaa wachuuzi na hao ndiyo wadau wa TRA lakini mwanza na Mbeya pamoja na Geita kumejaa wazalishaji. Akili kichwani...
Mapato ni sehemu ndogo tuu ya Uchumi,by the way wanachouza pale ni Huduma za Utalii ambazo zinapimwa Kwa Fedha kama ambavyo waliozalisha mazao ya Kilimo wanaweza kuwa converted Kwa fedha.Utalii ndio unaingiza mapato mengi zaidi nchi hii, Kila mwaka kuna watalii zaidi ya 30,000 wanaotembelea mlima Kilimanjaro.
Acha uongo,tuzo zimetolewa Kwa kitu kinaitwa majadiliano 👇👇Kilimanjaro utalii unaowapatia watu wengi pesa,,wakati geit ni vimigodi tu basi,,na hakuna kilimo cha uhakika kama kilimanjaro
Tuzo ni ya majadiliano na sio nani anachangia zaidi uchumiKilimanjaro imeizidi Geita kwamaana no modernized almost mkoa wote so. Mzunguko wa pesa ni mkubwa sana kuzidi Geita (mzunguko wa pesa ukiwa mkubwa hata kodi inakusanywa kubwa). Geita ni kamji kadogo sana asee hakuna biashara yakueleweka labda hapo Katoro kidogo ila Geita mjini ndio hewa kabisa.
Zaidi ya wachimbaji wadogo na mgodi mmoja mkubwa mapato hapo hayawezi kuifikia Kilimanjaro inayobebwa pia na sekta ya utalii.
Ni kwa sababu ya stupidity policy kwenye resources zetu, wamekufa akina Mkapa, Bomani, akina chenge wanachechemea kama gari bovu, mikataba mibovu na 10% ndo imesababisha Geita pamoja na kuwa kwenye na madini mengi lakini wazungu wanasomba yote.Wasalaam ndugu zangu,
Kwanza nianze na pongezi kwa mikoa ya Dar-es Salaam, Dodoma, na Kilimanjaro kupongezwa na Mheshimiwa rais Jana kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kwenye uchumi wa nchi yetu.
Ndugu zangu kilichonishangaza kwenye pongezi hizo ni kujitokeza kwa mkoa wa Kilimanjaro na kuacha nyuma mkoa wenye dhahabu Geita, na mikoa mingine Kama Mwanza, Arusha, Mbeya na Ruvuma?
Ndugu zangu wataalam wa uchumi ningefurahi kujua ni vigezo gani au ni sababu gani zinazofanya mkoa wa Kilimanjaro kuchangia pakubwa na kushinda mikoa Kama Geita, Mwanza, Mbeya, Arusha na Ruvuma.
Mkuu kuna kugenerate Pato na kuna kodi hivi ni vitu viwili tofauti. Sina hizo data mpya ila za mwaka Jana Geita Wali generate pato kubwa kushinda Kilimanjaro, ila kwenye Kodi Kilimanjaro ilichangia zaidiWasalaam ndugu zangu,
Kwanza nianze na pongezi kwa mikoa ya Dar-es Salaam, Dodoma, na Kilimanjaro kupongezwa na Mheshimiwa rais Jana kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kwenye uchumi wa nchi yetu.
Ndugu zangu kilichonishangaza kwenye pongezi hizo ni kujitokeza kwa mkoa wa Kilimanjaro na kuacha nyuma mkoa wenye dhahabu Geita, na mikoa mingine Kama Mwanza, Arusha, Mbeya na Ruvuma?
Ndugu zangu wataalam wa uchumi ningefurahi kujua ni vigezo gani au ni sababu gani zinazofanya mkoa wa Kilimanjaro kuchangia pakubwa na kushinda mikoa Kama Geita, Mwanza, Mbeya, Arusha na Ruvuma.
Mimi nimejibu mada ya muanzisha uzi hii yako siitambui kama sehemu ya swali nililojibu.Tuzo ni ya majadiliano na sio nani anachangia zaidi uchumi
View: https://twitter.com/ikulumawasliano/status/1817909202104328266?t=ilYToWDjavVDgoB34BVz7A&s=19
Mkuu nafikiri Kunapaswa kuwe kunatolewa elimu namna ya kuwasilisha taarifa za kiuchumi kwa wananchi... Kusema mkoa A uko vizuri zaidi kuliko mikoa B inatakiwa kuweka wazi makusanyo hayo ni katika sekta Gani. Mwaka 2019 mkoa wa Dodoma ukiwekwa kama mkoa wenye makusanyo makubwa kuliko mikoa yote kuondoa Dar es salaam,.Sasa hii inachanganya watu. TRA watuambie kipi kimeikumba Dodoma mpaka haisikiki tena. Elimu ya uchumi ni mhimu.Ndio maana nasema je hao waliotoa tuzo wanaelewa walichomuandikia Rais au ndio Ile ya Assad kwamba 75% ya Watumishi wa Umma ni vilaza?