Wadau wa uchumi inakuwaje mkoa wa Kilimanjaro unachangia pakubwa kwenye uchumi wa Tanzania kuzidi mkoa wa Geita?

Na bado dhahabu zikiisha wananchi wa Geita wataachiwa mashimo tu na ardhi yenye sumu. Kilimanjaro ule mlima upo tu labda ipatikane njia yakuubeba uhamishiwe Dar au Dodoma
 
Wengi sana hawajui na wanampotisha Rais na wanaripoti ndivyo sivyo mambo ya uchumi.

Rais alisikika alisema uchumi Wetu uko pale pale wakati sio kweli kwba alitakiwa aseme unakua Kwa rate zile zile za 4-5% na sio kusema uko pale pale as if uko stagnant.

Serikali iwe Ina recruit watu wanaotoa taarifa na waandaaji wa taarifa wenye abc za Uchumi sio kujiandia tuu kijinga kijinga.

Ukingalia pale Jana walikuwa wanatoa vyeti kutambua Mikoa iliyofanya vizuri kwenye majadiliano ya kiuchumi na kibiashara ila watu wakaripoto eti Mikoa inayochangia zaidi Uchumi na Mapato Nchini wakati sio kweli.

Mfano Tangu lini Kilimanjaro na Dodoma zikaizisi Arusha Kwa Mapato ya TRA?

Au ni lini Mikoa tajwa ikazisi GDP ya Mbeya na Mwanza? Upuuzi mtupu na upotoshaji sababu ya ujinga.
 
KA MGODI KANA WAFANYA KAZI 2000...MIPAKA NA INCHI JIRANI HAKUNA..wenye uchumi wa wastani ni wafanyakazi wa mgodi...wachimbaji wadogo wengi wako hoi labda wachache wenye plant......unajua kutokutembea ukiwa na jicho la tatu ni hasarasana..wawaulize maproducer wa bidhaa kama sukari pombe na maji... wapi wanauza zaidi au watapendelea kupeleka wapi kabla ya wapi?kila mtu anataka kuuza dar,mwanza mbeya arusha kill and so on...hata shinyanga iko much better than fucking geita...kila mtu anataka kupeleka mtaji wake kahama na sio geita...
 
sasa unalia nini basi toa hito Kilimanjaro weka mwanza tuone kama maisha yako yatabadilika
 
Acha kelele na makeke yasiyo na maana kwa vitu vilivyokuzidi uwezo. Uliza, jifunze na ueleweshwe.

Mapato ni njia mojawapo ya kupima uchumi kwa kutumia "INCOME APPROACH"
 
Geita mmetufanya shamba la bibi sana.
 
Hapa kuna tuhuma
 
Mbona una hasira sana ndugu hujui sasa hivi Kilimanjaro ni high season kwenye utalii. Au hupendi kusikia mkoa Kilimanjaro unafanya vizuri.
 
Ndo ujue upigaji hadi kwenye takwimu upo... Wanasiasa wabaya sana...
 
biashara mtaani, watalii kilimanjaro, airport ya KIA. vitu vikubwa sana hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…