NDIO MZEE MBOWE KAWAELEZA WACHAGGA SIO?Tunaibiwa sio kidogo hata mlima Kilimanjaro ungebebeka nao ungekwenda na maji
MANGI KINACHOBEBA MKOA KUWA N GDP KUBWA PAMOJA NA UWEPO WA IDADI NDOGO YA WAKAZI NI UWEPO WA VIWANDA HATA KAMA SI VINGI ILA VINABEBA SANA MKOAMbona una hasira sana ndugu hujui sasa hivi Kilimanjaro ni high season kwenye utalii. Au hupendi kusikia mkoa Kilimanjaro unafanya vizuri.
Mlango wa kuingia watalii uko KIA wilaya ya Hai mkoa wa KilimanjaroWasalaam ndugu zangu,
Kwanza nianze na pongezi kwa mikoa ya Dar-es Salaam, Dodoma, na Kilimanjaro kupongezwa na Mheshimiwa rais Jana kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kwenye uchumi wa nchi yetu.
Ndugu zangu kilichonishangaza kwenye pongezi hizo ni kujitokeza kwa mkoa wa Kilimanjaro na kuacha nyuma mkoa wenye dhahabu Geita, na mikoa mingine Kama Mwanza, Arusha, Mbeya na Ruvuma?
Ndugu zangu wataalam wa uchumi ningefurahi kujua ni vigezo gani au ni sababu gani zinazofanya mkoa wa Kilimanjaro kuchangia pakubwa na kushinda mikoa Kama Geita, Mwanza, Mbeya, Arusha na Ruvuma.
Hizo ni takwimu za kupikwa.wachumi ni wataalam sana wa kucook data tofauti na wahasibu ambao wako too realistic.wachumi ni wanasiasaWasalaam ndugu zangu,
Kwanza nianze na pongezi kwa mikoa ya Dar-es Salaam, Dodoma, na Kilimanjaro kupongezwa na Mheshimiwa rais Jana kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kwenye uchumi wa nchi yetu.
Ndugu zangu kilichonishangaza kwenye pongezi hizo ni kujitokeza kwa mkoa wa Kilimanjaro na kuacha nyuma mkoa wenye dhahabu Geita, na mikoa mingine Kama Mwanza, Arusha, Mbeya na Ruvuma?
Ndugu zangu wataalam wa uchumi ningefurahi kujua ni vigezo gani au ni sababu gani zinazofanya mkoa wa Kilimanjaro kuchangia pakubwa na kushinda mikoa Kama Geita, Mwanza, Mbeya, Arusha na Ruvuma.
Kilimanjaro kuna viwanda gani.mm nimeishi miaka saba kule maisha ni magumu sana hata utafutaji wa maisha ni mgumu sana ndo maana watu wa kule wanajihusisha sana na biashara haramu.MANGI KINACHOBEBA MKOA KUWA N GDP KUBWA PAMOJA NA UWEPO WA IDADI NDOGO YA WAKAZI NI UWEPO WA VIWANDA HATA KAMA SI VINGI ILA VINABEBA SANA MKOA
Dodoma iko namba ngapi Mkuu?Watumishi wa Umma wengi ni incompetent sana kama alivyosema CAG Assad takribani 75% hawajielewi.
Mchango wa Mkoa kwenye Uchumi wa Nchi unapimwa Kwa GDP na sio makusanyo ya Fedha zinazotokana na TRA.
Sasa wao walitakiwa waipongeze hiyo Mikoa Kwa kuchangia Mapato mengi ya TRA badala ya kusema eti inachangia sana Uchumi,huo ni uongo na kutojielewa wanachosema unless waseme wazi ni nini hasa walichokuwa wanamaanisha.
Kwa minajirinya Ukubwa wa Uchumi wa Mikoa GDP,Geita imezidi Kilimanjaro.
GDP ya Geita (2022) ni 7.7Trilioni vs Kilimanjaro 7.5Trilion
The Top 3 heavy weights ni Dar,Mwanza na Mbeya View attachment 3056662
ule mlima wetu hata ukiwa kenya utauangalia tu ila huwezi kuufikia bila kufika kilimanjaro, pia, airport ya KIA ni moja ya airport inayotua ndege bora na kubwa ambazo zingine hata dsm hazitui, na watalii wengi wanaoenda arusha wanapigia KIA, pia, kibiashara ipo karibuna Arusha. kwanini mapato yasiwe mengi?Kuna jamaa aliniambia Kilimanjaro mmebarikiwa mmepewa rasilimali ya kudumu. Ule mlima mpaka Yesu anarud mtakuwa mnakula tu. Nikammwambia kiukweli ule mlima cjui kama kuna mtu anaefaidika nayo zaid ya serikali.
MJINGA SANA WEWE YALE MAHOTELI YALIYOKO MARANGU NA MACHAME YANAMILIKIWA NA SERIKALI?Kuna jamaa aliniambia Kilimanjaro mmebarikiwa mmepewa rasilimali ya kudumu. Ule mlima mpaka Yesu anarud mtakuwa mnakula tu. Nikammwambia kiukweli ule mlima cjui kama kuna mtu anaefaidika nayo zaid ya serikali.
KIWANDA KIMOJA TU CHA BIA NI ZAIDI YA MGODI KWA ULIPAJI WA KODI MKUUKilimanjaro kuna viwanda gani.mm nimeishi miaka saba kule maisha ni magumu sana hata utafutaji wa maisha ni mgumu sana ndo maana watu wa kule wanajihusisha sana na biashara haramu.
KUU JARIBU KUWA FAIR WAKATI MWINGINE, NI MKOA GANI HAPA NCHNI WENYE MAISHA BORA HASWA KWA MAISHA YA KIJIJINI KUZIDI MKOA WA KILIMANJARO? KIUHALISIA HUWEZI KUKUTA KIJIJI CHOCHOTE NCHI HII CHENYE LEVEL YA MAENDELEO YA MARANGU AU MACHAMEKilimanjaro kuna viwanda gani.mm nimeishi miaka saba kule maisha ni magumu sana hata utafutaji wa maisha ni mgumu sana ndo maana watu wa kule wanajihusisha sana na biashara haramu.
biashara mtaani, watalii kilimanjaro, airport ya KIA. vitu vikubwa sana hivyo.
Yaani huyo hajui mkoa wa Kilimanjaro hata chembe eti kuna kiwanda gani Kilimanjaro anajua kuna shamba makubwa yanaingiza pato kubwa wengi wanachuki na Kilimanjaro ardhi ya Kilimanjaro yote inaingiza kodi hakuna mapori hewa KilimanjaroM
KUU JARIBU KUWA FAIR WAKATI MWINGINE, NI MKOA GANI HAPA NCHNI WENYE MAISHA BORA HASWA KWA MAISHA YA KIJIJINI KUZIDI MKOA WA KILIMANJARO? KIUHALISIA HUWEZI KUKUTA KIJIJI CHOCHOTE NCHI HII CHENYE LEVEL YA MAENDELEO YA MARANGU AU MACHAME
Vitu vingi vinatoka mikoani vinapelekwa Dar vinaonekana ni vya Dar, siamini Dodoma kama inaweza kuizidi Kahama au ArushaMkuu mikoa kama Mwanza, na Mbeya ndiyo inachangia pakubwa kwenye ukuaji wa uchumi shida yake ni kuwa bidhaa zake kama mazao ya kilimo, ufugaji na uvuvi pamoja na madini hayakatwi Kodi na TRA kwa maana hiyo mikoa hii inaonekana inachangia padogo kiuchumi lakini kiuhalisia mikoa ya Mwanza na Mbeya Ina mchango mkubwa kiuchumi pengine kuliko mikoa mingine yote isipokuwa labda Dar es salaam. Mikoa ya kama Dar es salaam imejaa wachuuzi na hao ndiyo wadau wa TRA lakini mwanza na Mbeya pamoja na Geita kumejaa wazalishaji. Akili kichwani...
Wananchi wanafaidi sana maji ya mlima Kilimanjaro tatizo watu wengi wanapita toka moshi kwenda Arusha wanadhani tayari wanapajua Kilimanjaro tembeleakuanzia mashariki ndani ndani uataamini mzunguko wa pesa ni mkubwa ila wananchi kila mtu ni mjanja hawavuji hela hawaendekezi starehe na Tanzania hakuna mkoa wenye vijiji vilivyo endelea kama vijiji vya uchagani utofauti ni mkubwa sanaKuna jamaa aliniambia Kilimanjaro mmebarikiwa mmepewa rasilimali ya kudumu. Ule mlima mpaka Yesu anarud mtakuwa mnakula tu. Nikammwambia kiukweli ule mlima cjui kama kuna mtu anaefaidika nayo zaid ya serikali.
Kahama Iko overated Kwa nini hasa? Mbona hamna kitu hapo? Unasema hudhani wakati takwimu ziko hapo ππVitu vingi vinatoka mikoani vinapelekwa Dar vinaonekana ni vya Dar, siamini Dodoma kama inaweza kuizidi Kahama au Arusha
Kahama ina migodi mingapi na Dodoma kuna nini? Arusha izidiwe na Kilimanjaro na Dodoma? tuache utani mwenyewe nipo Moshi lakini takwimu hizi hapanaKahama Iko overated Kwa nini hasa? Mbona hamna kitu hapo? Unasema hudhani wakati takwimu ziko hapo ππ
Hakuna mtu amesema Arusha imezidiwa na Kilimanjaro,mtoa mada alipotoka kunukui taarifa.Kahama ina migodi mingapi na Dodoma kuna nini? Arusha izidiwe na Kilimanjaro na Dodoma? tuache utani mwenyewe nipo Moshi lakini takwimu hizi hapana