Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mimi sipo Kahama lakini ushabiki wakijinga tuweke pembeni, Kahama ipo mbali sn sema nyie UWT muda wote manawaza ushabikiHakuna mtu amesema Arusha imezidiwa na Kilimanjaro,mtoa mada alipotoka kunukui taarifa.
Kahama Kuna mgodi mmja tuu ,Sasa kamgodi kamoja ndio kalingane na Jiji? Kw ai hujui Service industry Kwa Dom ni kubwa kushinda Hako kagulio kenu?
Ni lini Kahama imeizidi Tunduma labda maana ndio size Moja japo Kwa Mapato Tunduma ni zaidi ya Hilo Gulio la Kahama ambalo liko overrated.
Wewe ni wale wazee mlikaririshwa ujinga.Kahama Iko mbele sana kulinganisha na nani na Kwa lipi? 😂😂Mimi sipo Kahama lakini ushabiki wakijinga tuweke pembeni, Kahama ipo mbali sn sema nyie UWT muda wote manawaza ushabiki
UWT hamnaga akili huwa mnabisha kipumbavu sn, kwamba sisi hatuoni au hatusafiri? leo Arusha inazidiwa na Kilimanjaro?Wewe ni wale wazee mlikaririshwa ujinga.Kahama Iko mbele sana kulinganisha na nani na Kwa lipi? 😂😂
Wewe punguani,acha kuruka ruka..tuko Kwa Kahama.UWT hamnaga akili huwa mnabisha kipumbavu sn, kwamba sisi hatuoni au hatusafiri? leo Arusha inazidiwa na Kilimanjaro?
Pato la Taifa unalijua? Usiwe kama Machadema hamnazoUkiondoa utalii, kinachofuata kwa kuchangia pato la Taifa ni DIASPORA
Mwanza na Dodoma ina population ya 3+mil wakati Kilimanjaro ina 1.8+milBasi umelishwa na kukariri ujinga ,Kwa taarifa Yako tuu hata kwenye Mapato ya TRA ,Arusha na Mwanza ziko Juu ya Kilimanjaro achilia mbali Dodoma.
Nakufafanulia alichonukuu na kuelewa vibaya unakomaa na ujinga wako,Baki hivyo hivyo Mikoa 15 Inayoongoza Kuchangia Kodi za TRA Tanzania
Pato la Taifa unalijua? Usiwe kama Machadema hamnazo
Mkuu kuna kugenerate Pato na kuna kodi hivi ni vitu viwili tofauti. Sina hizo data mpya ila za mwaka Jana Geita Wali generate pato kubwa kushinda Kilimanjaro, ila kwenye Kodi Kilimanjaro ilichangia zaidi
Source
Mikoa 15 Inayoongoza Kuchangia Kodi za TRA Tanzania
Kwa mujibu wa uchambuzi niliofanya kutumia taarifa za kikodi kutoka TRA(Tax Revenues Collections) Mwaka wa Fedha 2022/2023.,Nimebaini Mikoa 15 inayotoa Kodi nyingi zaidi kuchangia gurudumu la maisha. Mikoa ambayo Ina Mapato makubwa ya TRA Kwa mwaka wa Fedha 2022/2023. 1. Dar=11,111.66 2...www.jamiiforums.com
Ijue Mikoa 10 ya Tanzania yenye Uchumi Mkubwa na Iliyoendelea zaidi
Ofisi ya Taifa ya Takwimu Imetoa data zinazoonyesha Ukubwa wa Uchumi Kwa Kila mkoa Kwa Tanzania Bara Kwa mwaka 2022. NBS imechapisha kitabu Cha Hali ya Uchumi wa Taifa mwaka yaani Tanzania in Figures 2022 zinazoonesha Ukubwa wa Uchumi wa Kila Mkoa(Regional GDP) na jinsi unavyochangia kwenye...www.jamiiforums.com
Kama wadau wengine walivyosema Utalii hauna mzunguko mkubwa kama Madini ila faida ni kubwa sana, Hutumii hela nyingi kutengeneza utalii ila unakuta madini Yakauzwa Mamia ya Mabilioni ila kwa serikali ikaenda 10%.
Dhahabu za Geita tulipigwa na kitu kizito kichwani !Wasalaam ndugu zangu,
Kwanza nianze na pongezi kwa mikoa ya Dar-es Salaam, Dodoma, na Kilimanjaro kupongezwa na Mheshimiwa rais Jana kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kwenye uchumi wa nchi yetu.
Ndugu zangu kilichonishangaza kwenye pongezi hizo ni kujitokeza kwa mkoa wa Kilimanjaro na kuacha nyuma mkoa wenye dhahabu Geita, na mikoa mingine Kama Mwanza, Arusha, Mbeya na Ruvuma?
Ndugu zangu wataalam wa uchumi ningefurahi kujua ni vigezo gani au ni sababu gani zinazofanya mkoa wa Kilimanjaro kuchangia pakubwa na kushinda mikoa Kama Geita, Mwanza, Mbeya, Arusha na Ruvuma.
Kwa hiyo hizo millions of $$$ zinazotumwa na Diaspora kila mwaka sio sehemu ya pato la Taifa? ni nini sasa? Tatizo unajifanya unajua kumbe kichwani matope matupu, official Data zipo wazi na ukizitaka utapewa, sikiliza, reseach na uliza maswali kama huelewi utaelimikaPato la Taifa unalijua? Usiwe kama Machadema hamnazo
Na hii ilikuwa 2022 diaspora waliingiza zaidi ya dola bilioni moja, sasa 2024 itakuwa double na itazidi sekta zote za uchumi, jieleimishe acha siasa majitakaPato la Taifa unalijua? Usiwe kama Machadema hamnazo
Tanzania haipo hata top 10 ya Nchi Zenye diaspora wengiNa hii ilikuwa 2022 diaspora waliingiza zaidi ya dola bilioni moja, sasa 2024 itakuwa double na itazidi sekta zote za uchumi, jieleimishe acha siasa majitaka
TANZANIA is now earning more foreign exchange from diaspora remittances in comparison to some of its major exports including traditional exports and cereals.
President Samia Suluhu Hassan revealed on Wednesday that the contribution of Tanzanian diaspora in terms of remittances and investments amounted to 2.5tri/- last year.
According to statistics from the Bank of Tanzania (BoT), the total value for traditional exports exceeded 758.4 million US dollars (about 1.7tri/-) and cereals amounted to over 244.7 million US dollars (about 562.8bn/-) in the year ending March 2023.
Among such traditional exports are goods including coffee, cashewnuts, tobacco and tea.
Through the Twitter handle which was accompanied by a photo combo, President Samia noted that after taking part at the Southern African Development Community (SADC) Extraordinary Organ Troika Summit (EO-OTS) in Windhoek, Namibia, she got a chance to speak with a section of Tanzania diaspora and their families who live in the country.
“Like other Tanzanians who live in the various areas globally, our relatives from Namibia have been contributing highly to the country through investment in the various sectors and a remittance that now stands at over 2.5tri/- sent to their family members and relatives,” said Dr Samia.
Recently, Foreign Affairs and East African Cooperation Minister Dr Stergomena Tax revealed that the contribution of the Diaspora has continued to steadily increase, citing data from the Central Bank of Tanzania (BoT), which shows that remittance accounted for 400 million US dollars about 937bn/- (2020) to 569.3 million US dollars about 1.3tri/- (2022).
Likewise, the diaspora invested 3.9bn/- in UTT mutual funds and bought houses worth 2.3bn/- in the country, indicating that the ministry has continued to encourage the group in foreign countries to register themselves.
Last month during the question-and-answer Parliament session, the Deputy Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Ambassador Mbarouk Nassor told the August House that Tanzanians living abroad have injected a total of 4.4bn/- in the real estate sector and invested 2.5bn/- through acquisition of shares from different companies.
“The diaspora has had a major contribution through foreign currency (remittance), expertise and technology that can promote the production of various products and services in the country,” noted the Deputy Minister.
The deputy minister was responding to a question asked by Mikumi Legislator Dennis Londo (CCM), who wanted to know the total number of Tanzanians living abroad and their contribution to the country’s development.
Ni sehemu ndogo sana ya Pato la Taifa na sio nyingi kama unavyotaka ionekane hapa.Kwa hiyo hizo millions of $$$ zinazotumwa na Diaspora kila mwaka sio sehemu ya pato la Taifa? ni nini sasa? Tatizo unajifanya unajua kumbe kichwani matope matupu, official Data zipo wazi na ukizitaka utapewa, sikiliza, reseach na uliza maswali kama huelewi utaelimika
Ndio wanatakiwa waseme Mapato ya Kodi sio kusema Uchumi..labda wamezidiana ktk makusanyo ya KODI yanayowasilishwa serikalini.
..inawezekana eneo fulani likawa na mapato makubwa lakini serikali haina utaratibu mzuri wa kukata kodi yake kutokana na mapato hayo.
..pia unaweza kuwa na eneo lingine ambalo lina mapato madogo lakini serikali ina utaratibu mzuri wa kukata kodi kulinganisha na eneo lenye mapato makubwa.
Mlima Kilimanjaro ndo kivutio kikuu Cha utalii TanzaniaHapo hata mimi bado najiuliza.
Kushinda Serengeti na Ngorongoro? Unajua pesa inayoingia Serengeti na Ngorongoro au umekaririshwa?Mlima Kilimanjaro ndo kivutio kikuu Cha utalii Tanzania
Na wewe unajua pesa inayoingia Kilimanjaro?Kushinda Serengeti na Ngorongoro? Unajua pesa inayoingia Serengeti na Ngorongoro au umekaririshwa?
Ndio,just imagine Mapato yote ya Kodi Mkoa wa Kilimanjaro ni chini ya Bilioni 370 wakati Ngorongoro peke yake Ina zaidi ya Bilioni 300.Na wewe unajua pesa inayoingia Kilimanjaro?