Ngorongoro ipo geita?Ndio,just imagine Mapato yote ya Kodi Mkoa wa Kilimanjaro ni chini ya Bilioni 370 wakati Ngorongoro peke yake Ina zaidi ya Bilioni 300.
Kwenye vyanzo vya Kodi vikubwa,mamlaka ya Ngorongoro inasimama independently.
Arusha au ipo Kilimanjaro? ππNa
Ngorongoro ipo geita?
Ndio wanatakiwa waseme Mapato ya Kodi sio kusema Uchumi
Dodoma wana vyanzo gani vya mapato?Mkoa mkavu vumbi linatimka kila kona.Mkoa umalishwa na iringa,Mbega,njombe na Ruvuma halafu leo hii uwe na sifa ya kuchangia uchumi wa nchi hii! shamefulDodoma iko namba ngapi Mkuu?
More than a billion dollar unaita ndogo sana? inaonekana huelewi au umeamua kuwa mbishi tuu, ila kwa taarifa yako zaidi ya Gold na utalii hakuna kitu kingine kinachoingiza pesa Tanzania kama Diaspora,na pesa za Diapora zinaingia moja kwa moja kwenye mzunguko wa nchi kiuchumi, hizo Gold utakuta mzungu anaondoka na 90% anapeleka wao, nakushauri educate yourself umuhimu na faida ya Diaspora kwa nchi zilizoendelea uache siasa na kuongea ovyo, jirani zako Kenya wameingiza 4 billion dollar mwaka jana tuu na imezidi hata sekta zao kubwa za utalii na chai na imefikia wameanzisha idara maalum kushughulikia diaspora tuu, na hakuna mashindano na Rwanda au Uganda wote tunataka nchi zetu ziendeleeNi sehemu ndogo sana ya Pato la Taifa na sio nyingi kama unavyotaka ionekane hapa.
Tanzania Ina diaspora gani wa manaa inazidiwa Hadi na Rwanda na Uganda?
Swali langu kwa niliyemuuliza umelielewa? Au umejisikia tu kujibu?Dodoma wana vyanzo gani vya mapato?Mkoa mkavu vumbi linatimka kila kona.Mkoa umalishwa na iringa,Mbega,njombe na Ruvuma halafu leo hii uwe na sifa ya kuchangia uchumi wa nchi hii! shameful
Machame mahoteli yaliyojengwa na akina mbowe na wengine ambao wamechukua mali mikoani!MACHAME unalala unatafuta nini kule mgombani uache kulala arusha.labda kama unalala ili ule kitimoto kwa wale wenzangu.kilimanjaro hakuna lolote ndo maana hata wenyeji wanapakimbia.mimi nimeishi moshi mjini miaka zaidi ya saba sikuona la maana zaidi ya kushinda Kitandu,kibololoni,club Alberto kwa wadangani na njoroMJINGA SANA WEWE YALE MAHOTELI YALIYOKO MARANGU NA MACHAME YANAMILIKIWA NA SERIKALI?
Si kila kitu kinatozwa kodi na royalities nyengine sawa, Madini yanajulikana kabisa Serikali inapata kiasi gani, kama sijakosea Royalities wanazolipa kina Acacia/Barrick ni kama 6%...kwanini mkoa uwe na mapato makubwa lakini uchangie kodi kidogo?
..jinsi mapato yanavyoongezeka makusanyo ya kodi nayo yanapaswa kuongezeka.
Unaijua Bilioni dollar kwanza? πππππMore than a billion dollar unaita ndogo sana? inaonekana huelewi au umeamua kuwa mbishi tuu, ila kwa taarifa yako zaidi ya Gold na utalii hakuna kitu kingine kinachoingiza pesa Tanzania kama Diaspora,na pesa za Diapora zinaingia moja kwa moja kwenye mzunguko wa nchi kiuchumi, hizo Gold utakuta mzungu anaondoka na 90% anapeleka wao, nakushauri educate yourself umuhimu na faida ya Diaspora kwa nchi zilizoendelea uache siasa na kuongea ovyo, jirani zako Kenya wameingiza 4 billion dollar mwaka jana tuu na imezidi hata sekta zao kubwa za utalii na chai na imefikia wameanzisha idara maalum kushughulikia diaspora tuu, na hakuna mashindano na Rwanda au Uganda wote tunataka nchi zetu ziendelee
Unaleta ligi za kitoto, acha kupotezea watu muda, hamia kule udakuUnaijua Bilioni dollar kwanza? πππππ
Unaijua? Au ndio hii hapa πUnaleta ligi za kitoto, acha kupotezea watu muda, hamia kule udaku
MIAKA YOTE SABA ULIKUWA UNAFANYA NINI MKUU? ULIWEZAJE KUISHI MAHAPLI PABOVU KWA MIAKA SABA?Machame mahoteli yaliyojengwa na akina mbowe na wengine ambao wamechukua mali mikoani!MACHAME unalala unatafuta nini kule mgombani uache kulala arusha.labda kama unalala ili ule kitimoto kwa wale wenzangu.kilimanjaro hakuna lolote ndo maana hata wenyeji wanapakimbia.mimi nimeishi moshi mjini miaka zaidi ya saba sikuona la maana zaidi ya kushinda Kitandu,kibololoni,club Alberto kwa wadangani na njoro
πππ mambo mazuri ya Kilimanjaro yanakutoaga povu sana mkuuπππHakuna Cha high season Wala low season, Kilimanjaro haiwezi na kamwe haitaweza ipita Mapato Arusha au Mwanza
Kushinda Serengeti na Ngorongoro? Unajua pesa inayoingia Serengeti na Ngorongoro au umekaririshwa?
We kinachokuuma ni mkoa wa kilimanjaro au unapingana na takwimu? Kama unapingana na takwimu basi weka mkoa unataka wewe alafu utoe mkoa wa kilimanjaro.Wasalaam ndugu zangu,
Kwanza nianze na pongezi kwa mikoa ya Dar-es Salaam, Dodoma, na Kilimanjaro kupongezwa na Mheshimiwa rais Jana kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kwenye uchumi wa nchi yetu.
Ndugu zangu kilichonishangaza kwenye pongezi hizo ni kujitokeza kwa mkoa wa Kilimanjaro na kuacha nyuma mkoa wenye dhahabu Geita, na mikoa mingine Kama Mwanza, Arusha, Mbeya na Ruvuma?
Ndugu zangu wataalam wa uchumi ningefurahi kujua ni vigezo gani au ni sababu gani zinazofanya mkoa wa Kilimanjaro kuchangia pakubwa na kushinda mikoa Kama Geita, Mwanza, Mbeya, Arusha na Ruvuma.
Ni kweli MEKU na kilimo kinasadia pia.MANGI KINACHOBEBA MKOA WA N GDP KUBWA PAMOJA NA UWEPO WA IDADI NDOGO YA WAKAZI NI UWEPO WA VIWANDA HATA KAMA SI VINGI ILA VINABEBA SANA MKOA
Hao wanamchango mdogo sana! Mfanyakazi wa Mgodini hapa Geita ni mtu wa kawaida tu na hana hela kuzidi wachimbaji wadogo!Yale madini ya Geita yanaenda yuesei hapa mbabaki na michanga tu na wachimbaji wadogowadogo.
Pia wafanyakazi wale professional wa migodini asilimia kubwa ni wageni,wanawekeza makwao
Geita kuna uchawi sana,ichawi na maendeleo havikai pamoja
Kushinda Serengeti na Ngorongoro? Unajua pesa inayoingia Serengeti na Ngorongoro au umekaririshwa?una
Ndio ukweli wenyewe Kilimanjaro ndio kivitio kikubwa cha pekee Tanzania. Hizo Mbuga hata Kenya na Africa kusini zipo. Ndio maana hata ndege zimeandikwa Kilimanjaro- The wing of Africa. Kuhusu mapato sio kigezo sana na hata hivyo huna data . Kilimanjaro The highest Point of Africa.Kushinda Serengeti na Ngorongoro? Unajua pesa inayoingia Serengeti na Ngorongoro au umekaririshwa?