kimarabucha
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 791
- 621
Mpira Wa Bongo ni 'matukio'. Wakati Klabu ya Yanga SC inamsajili Ajibu ilionekana kama vile imemsajili Neymar Wa PSG makelele sifa za kila aina.Baada ya kumsajili Tshishimbi kelele zote za Ajibu kwisha utadhani hayupo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm ni chama tawala so kufananisha Yanga na ccm ni kama umeisifia kiana maana unaishi kwa hisani ya Sera za chama tawalaTimu changanyikiwa baada ya
Manji kukaliwa koo
Jango almanusura
Yanga ni sawa ccm kama jezi zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Matopeni kelele za Harupesa zinaendelea?Mpira Wa Bongo ni 'matukio'. Wakati Klabu ya Yanga SC inamsajili Ajibu ilionekana kama vile imemsajili Neymar Wa PSG makelele sifa za kila aina.Baada ya kumsajili Tshishimbi kelele zote za Ajibu kwisha utadhani hayupo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una utani na Masau Bwire wewe!7G acheni kutapatapa
Hatujawahi kuwa na makelele, sisi sio wale wa kelele za mwanzo wa msimu halafu mwishoni midomo inapoteza networkMpira Wa Bongo ni 'matukio'. Wakati Klabu ya Yanga SC inamsajili Ajibu ilionekana kama vile imemsajili Neymar Wa PSG makelele sifa za kila aina.Baada ya kumsajili Tshishimbi kelele zote za Ajibu kwisha utadhani hayupo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nazungumzia zile goli saba walizofungwa simba kule sauziUna utani na Masau Bwire wewe!