Wadau wa Yanga SC 'bwana'! Ajibu kasahaulika ni Tshishimbi tu

Wadau wa Yanga SC 'bwana'! Ajibu kasahaulika ni Tshishimbi tu

Mpira Wa Bongo ni 'matukio'. Wakati Klabu ya Yanga SC inamsajili Ajibu ilionekana kama vile imemsajili Neymar Wa PSG makelele sifa za kila aina.Baada ya kumsajili Tshishimbi kelele zote za Ajibu kwisha utadhani hayupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatujawahi kuwa na makelele, sisi sio wale wa kelele za mwanzo wa msimu halafu mwishoni midomo inapoteza network
 
Back
Top Bottom